Tambaza Taifa Kubwa!!

Wa Tambaza,naomba kuuliza hivi ni kweli mzee R.Mengi naye kasomea Tambaza?
 
Nikashindwa nako maana mikwaju ilizidi lakini kwa kukumbusha tuu ni kuwa mimi nimesoma na akina HAMIDU MACHUPA, SHUSHU na BEDA ambao dingi wao alikuwa ndiye owner wa Langata na walikuwa wanaishi Mikocheni karibu na kwa mzee Muhaji

una la zaidi?

Duh na wewe kwa kudondosha majina....
 
hahahhahahahhahaaaaa mbavu siiiiina, no amina chifupa wa juzi sana , sasa mwanangu mtapiganaje huku mnajikuna hahhahaha
unamuongelea mwalimu gani MKANDAWILE mzee wa MASUTI AU? huyo anasuti yake ya rangi ya kijani na damu ya mzeee hata kukiwa na jua kali vipi yumo tuuuu , alikwa kitukooo darasani na mineno yake
 
mhhhh mkuu Salute kumbe umakula mvua nha..........?!!!!
1988 where was i...................??????????
 
mhhhh shost weee naona ni baada ya akina amina chipupa eeee, maana hostel zilikuwa za wanaume tu enzi zangu mie kagaruki alikuwa anaenda kuwafurumusha asubuhi maana wamezidi uchafu wanaficha mikate kwenye magodoro blue band kwenye mito hahhahaah wapi Eric Masanja , tunnyfish, Joachim(CBG),Said Yakub, Mariam (manywele) Neyciah ooooh wako wengi sana uuuuuuh Josephine(Tall kama model)
 
mhhhh mkuu Salute kumbe umakula mvua nha..........?!!!!
1988 where was i...................??????????

Yeah.. not much though

As long as you uliwahi kupita pale, your footsteps are alsways there and we were always feeling as one NO MATTER WHAT!!! I am lucky to pass there too [luckier that i have experienced more than 2 sedondary schools in my education]

HIVI HAKUNA TAMBAZA ALUMNI AU YAHOO.GROUP AROUND??
 
yeah sure we r lucky, umestukia tambaza wamejaa kila kona? halafu wana kaumoja kao flani ambako hakafi.
 
Mliosoma Tambaza washua wenu walikuwa hawana uwezo wa kuwapeleka shule kali kama Mzizima na SRSS....
 
Mliosoma Tambaza washua wenu walikuwa hawana uwezo wa kuwapeleka shule kali kama Mzizima na SRSS....

Yeah sure..... Depends on miaka gani you are referring to!!! 70s?, 80?, 90?, au hii ya chekechea??
 
Yeah sure..... Depends on miaka gani you are referring to!!! 70s?, 80?, 90?, au hii ya chekechea??

Mid to late 80's and early to mid 90s...

Magari mengi ya ST yalikuwa yanaenda kuchukua watoto shule za SRSS na Mzizima na watoto wengi walikuwa wakienda na magari yao wenyewe. Nyie mlikuwa mnapanda mi daladala
 
sawa kaka..... watoto wa tube light nyie hatuwawezi, sie zetu chemli!!!! lakini tulifaidi sana magari ya jeshi enzi zetu 'free lift aisee" kuelekea njia za makambini
 
Yeah sure..... Depends on miaka gani you are referring to!!! 70s?, 80?, 90?, au hii ya chekechea??
Nadhani anaongelea hiii miaka ya chekechea...., hata hivyo Mkuu Nyani Ngabu sio kila mtu alikuwa qualified kwenda Tambaza kama watoto wa "matajiri" mmetoka na 'F' zenu hukoo hakuna nafasi Tambaza , sorry if u wil b offended but thats simply true VILAZA hawagusi Tams
 
Unacheza wewe...watu tulifumua pointi saba...na darasa la saba tulifaulu vile vile lakini tukaamua kupelekwa shule private. Hata nyinyi mngekuwa na uwezo msinge turn down fursa ya kwenda kusoma SRSS au Mzizima...
 
Duh... pointi saba A level au O level????, usichokoze details za waliopata saba wakaenda kusoma majamatini aisee, zipo hizo!!!!!
 
Duh... pointi saba A level au O level????, usichokoze details za waliopata saba wakaenda kusoma majamatini aisee, zipo hizo!!!!!

Kwani pointi saba iko level gani?

Unataka kuniambia SRSS na Mzizima kulikuwa hakuna pointi saba? Na kwa taarifa yako hizo shule zina a level pia..

Forget point saba....watu wamekuwa kwenye Dean's list miaka yote minne na kuhitimu na ma magna cum laude na summa cum laude....
 
Ha ha ha Nyani Ngabu karibu sana .... hapa nakuunga mkono asilimia mia moja.
 
Inategemea ulisoma lini maana zamani (up to late 1980s) shule za serikali ndio zilizokuwa nzuri kielemu ikiwemo Tambaza na Azania (walimu kama mama Shija etc). SSBS ilikuwa ghali kusoma pale (membership fee na ada etc) na ni kweli walikuwa wanafanya vizuri pia. Elimu ya nyumbani kwa kweli ni kukariri sanaaa hivyo hizo point 7 au 3 za A'level ...probably means nothing!!
 
Yeah mie nilikuwepo Tambs baada ya akina amina chifupa, Hostel zilikuwa za wasichana tupu wanaochukua science. Hadi sasa nadhani hostel ni wasichana tupu.
 
hahahah, umeniacha hoi na mambo ya Mkandawile, alikuwa mkali kwenye organic chemistry si mchezo. Na sasa ana high skul yake mitaa ya pugu.
 
hahahah, umeniacha hoi na mambo ya Mkandawile, alikuwa mkali kwenye organic chemistry si mchezo. Na sasa ana high skul yake mitaa ya pugu.

Mkandawile kumbe ana shule yake siku hizi? Hongera zake sana, nami alinifundisha Organic Chemistry.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…