limbukeni huyooo.... ni wa kumuonea huruma tu, hawa ndio hawakawii kuwaita wazazi wao wachimba chumviweeh! wauza sumu na wanuka jasho ndo wakina nani? usikute unasikiaga harufu ya jasho lako mwenyewe afu unadhani ni la wenzio?
waswahili bwana, unapata income increment ya laki 2 unatamani jiji lote watu wahame wakuachie ww?u ar on top of ur balloon,huh!
<br />limbukeni huyooo.... ni wa kumuonea huruma tu, hawa ndio hawakawii kuwaita wazazi wao wachimba chumvi
Sio jasho tu labda pia mdomo na soksi hahaha!Huyu mleta thread JASHO LAKE LINANUKIA