johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,718
- 143,154
Tamasha Kubwa la Utalii linafunguliwa leo Chato Burigi wilayani Chato mkoa wa Geita
Mawaziri Kairuki, Bashe, Kijaj na Naibu Waziri mkuu ni miongoni mwa Mawaziri wengi watakuwepo
Wasanii Wakubwa Wote watakuwepo
Source: Clouds TV
RIP Shujaa Magufuli
Mawaziri Kairuki, Bashe, Kijaj na Naibu Waziri mkuu ni miongoni mwa Mawaziri wengi watakuwepo
Wasanii Wakubwa Wote watakuwepo
Source: Clouds TV
RIP Shujaa Magufuli