Mi ni Simba mwenye njaa so nakula nachopata
Muuza Sura anatafunwa kama swala aliyetakaswa
Kwa sala iliyotakata neno moja latangazwa
Niko conscious lala wewe fala unayepakatwa
Nahisi ukavu kwenye ubeti mahili
Wanadai na hisia chafu zaidi ya nyeti ya mswahili
Hizi hisia ni gazeti mi mhariri we mkariri
Mi kiti chenye msumari ukiketi keti kiakili.....
One "classic material"