Tamaduni Music Punchlines Special Thread

Kunifikia bado/ Uridhi pia bado/
Nigeuke Namless nikuwaze nkisinzia bado/ Hata kwa hisia bado/ Me ni Baba ako ni vile mama ako hajakaambia bado

Bado- Songa
 
Stereo ni mnyama haswa adse
 
Wakuu mmekaa kimya sana hebu tupieni mistari
 
Huku unasifia kule unaponda.
Ungeelewa mantiki ya ule Uzi usingesema hvyo

Mwanzo kabisa nime decleare kwamba mimi ni big Fan wa Tamaduni , Lakini ninawashangaa kwanini wanashindwa kutengeneza hela
 
Baba ananiambia maneno hayavunji kuti/
Sawa nachana ila mbna flow zangu hazifumi suti/
Me mweusi roho yangu haifugi chuki/
Dada anasem usiposoma mdgo wangu utarudi bush/
Songa mi ndo mfungwa niliyebaki
Na naiba Mpaka jela sijui mtanifunga wapi!
 
Baba ananiambia maneno hayavunji kuti/
Sawa nachana ila mbna flow zangu hazifumi suti/
Me mweusi roho yangu haifugi chuki/
Dada anasem usiposoma mdgo wangu utarudi bush/
Songa huyo
 
wakikwambia fanya kama flani ili utoke,
waambie flani alifanya kama nani akatoka.
one the incredible
 
Naweka kipaza chini, na surrender...//
Siku zinatoweka zinakwenda
Huamini, chek calendar...//
Nausimika mwenge wa uhuru kama Nyirenda...//
Nasukuma duru nikimuenzi GURU Dandu na Brenda...//
Kaburu kote nazuru mpaka Nakuru...//
Mungu namshukuru kwa kila fungu ukungu na Nuru...//
Kufuru Giza kushinda nguvu za Nuru...//
Tangu enzi za walawi Mathayo natoza ushuru...//

Hakuna mabadiliko, cjui sabato nasaka pato nitoe pato Kiminyato
nafuata michakato ilipo,
Leo hii waumini ndo wachungaji....//
Lwakatare juu ya Altare na injiri za ubabaishaji...//
Majambazi wasomi mahakamani ndio majaji...//
Kwa sanaa za ndotoni kila mmoja ana kipaji...//
Ctaki kuwa Mc wala ctaki kuwa Rapper...//
Nakula bati nachapa rapa ukibaki hapa...//
Kwa hili somo dogo hawapati nnachowapa ...//
Nna apa!!
Xxx xxx xxx
Nikki Mbishi
 
Macho yangu hayakuamini,
Hivi ni yeye ama camera 360,

Picha:songa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…