Tamaduni Music Punchlines Special Thread

Mashabiki wa huu mziki hawana hela , ni wavuta bangi na wavaa mitepesho ,thus why wasanii wake wapo kwenye starvation point
 
Mawenge ana bars laini sana
 
Haijalishi we ni mkali Zaid ya mentor wako/ na Enter kwako/ kama vile ume sign for trouble/ Nataka nimshukuru duke na M-Lab/ Hapa Nina pozi shughuli ina enter hapo/

One the incredible -Classsic material
sio pozi ni pause
 
Ndio maana nipo napotaka kua/
Na bado sina habari kwa wanaotakajua/
Wanao chakachua/
Wanao tupo chaka na tour ya wanao saka sio wanao saka tour/
Washamba nachukuia/...... Incredible lyrics
 
Milele nitasimama nikidondosha fasihi/
Wanabana kwa kua nimekaata kuipotosha jamii/
Wanataka niache ngumu nibane pua/
Ninyoe kiduku ndio niwe msanii wanaomtambua/.. uno
 
Mama alisema sali sana/
Safari ya mbali Sana/
Usiombe mengi omba tu ufike salama/
Na usijari kama utapata shida njiani/
Shiba imani ya bwana dhiki inasaka ujirani/
Mungu hakupi unachotaka anakupa unachostahili/
Dhahiri mashaka, majungu utayahimili kiakili/
Ila nasimama kwa imani uwe na mi yesu/
Nisije kuiga ya jirani kabla sijayajua ya kwetu/
 
Mama alisema sali sana/
Safari ya mbali Sana/
Usiombe mengi omba tu ufike salama/
Na usijari kama utapata shida njiani/
Shiba imani ya bwana dhiki inasaka ujirani/
Mungu hakupi unachotaka anakupa unachostahili/
Dhahiri mashaka, majungu utayahimili kiakili/
Ila nasimama kwa imani uwe na mi yesu/
Nisije kuiga ya jirani kabla sijayajua ya kwetu/
 
Ebhna Scar hili goma linaitwaje asee Dizasta Ni💥💥
 
mwenye ngoma za songa One the incrdible na p th3 mc anitumie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…