Tamaa Itanimaliza Jamani

Tamaa Itanimaliza Jamani

Nina umri mdogo (21) namaliza degree mwaka huu.

Nina maono ya maendeleo lakini natamani sana kuolewa, times za usiku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tena natamani kuzalishwa hata mwaka huu.

Hivi ninavyotamani ni kawaida au ni ujinga ninao?
Atafutae hupata na aombae hupewa sio ujinga dada ni hali ya mabadiliko ya tabia nchi cha kufanya kwa huo umri wako na mambo unayoyawaza ni safi kabisa je huyo BF wako anaumri gani? hebu ni PM nikupe darasa zuri la kushinda vishawishi
 
Nina umri mdogo (21) namaliza degree mwaka huu.

Nina maono ya maendeleo lakini natamani sana kuolewa, times za usiku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tena natamani kuzalishwa hata mwaka huu.

Hivi ninavyotamani ni kawaida au ni ujinga ninao?

hebe niPM nikuelekeze jinsi ya kupambana na vishawish
 
ndugu yangu hujui kuwa hiyo tabia ya kutamani si njema kabisa?
Hivi hujui kuwa kuna magonjwa hasa ili la ukimwi?
hivi ujui kuwa wewe ni mwaname rijali ambaye unahitaji kujiheshimu?
na kuwa staha, mwanamke uliyependelewa na Mungu kwa uzuri jamani?

kwanini unakuwa na tabia mbaya hiyo ya kuruhusu mwili ukutawale na
sio wewe uutawale mwili huo tabia mbaya za kupenda ngonozembe?

Kwanini unajirahisisha hata huku mitandaoni ili upate game jipya la
kukuharibia maisha yako na masomo yako uje ujute baadaye mdogo wangu?

Kwaninii unataka kutenda dhambi ambayo ni mbaya kujitoa mwili wako
uwe dhabihu ya dhambi mdogo wangu nakushauri BADILI TABIA na kuwa
na mtazamo mwingine wa kumwishia na kumhofu Mungu achana na dhambi
Nina umri mdogo (21) namaliza degree mwaka huu.

Nina maono ya maendeleo lakini natamani sana kuolewa, times za usiku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tena natamani kuzalishwa hata mwaka huu.

Hivi ninavyotamani ni kawaida au ni ujinga ninao?
 
Last edited by a moderator:
Nina umri mdogo (21) namaliza degree mwaka huu.

Nina maono ya maendeleo lakini natamani sana kuolewa, times za usiku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tena natamani kuzalishwa hata mwaka huu.

Hivi ninavyotamani ni kawaida au ni ujinga ninao?
Mimi huwa naelewa haraka...Ngoja niingie chumba cha siri yani PM.!
 
Jamani ameshampata wa kumpa mzigo na ameridhika naye sanaaaaa tu.!
:closed_2:
 
Nina umri mdogo (21) namaliza degree mwaka huu.

Nina maono ya maendeleo lakini natamani sana kuolewa, times za usiku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tena natamani kuzalishwa hata mwaka huu.

Hivi ninavyotamani ni kawaida au ni ujinga ninao?

kama icho chuo ni tanzania unatuongopea, huwez maliza degree na miaka 21 kwa mfumo wa elimu yetu
 
Naona na wewe unatamani cha asubuhi na cha kulalia hahahaha
 
ndugu yangu hujui kuwa hiyo tabia ya kutamani si njema kabisa?
Hivi hujui kuwa kuna magonjwa hasa ili la ukimwi?
hivi ujui kuwa wewe ni mwaname rijali ambaye unahitaji kujiheshimu?
na kuwa staha, mwanamke uliyependelewa na Mungu kwa uzuri jamani?

kwanini unakuwa na tabia mbaya hiyo ya kuruhusu mwili ukutawale na
sio wewe uutawale mwili huo tabia mbaya za kupenda ngonozembe?

Kwanini unajirahisisha hata huku mitandaoni ili upate game jipya la
kukuharibia maisha yako na masomo yako uje ujute baadaye mdogo wangu?

Kwaninii unataka kutenda dhambi ambayo ni mbaya kujitoa mwili wako
uwe dhabihu ya dhambi mdogo wangu nakushauri BADILI TABIA na kuwa
na mtazamo mwingine wa kumwishia na kumhofu Mungu achana na dhambi
Mimi mambo yako ya kubadilisha badilisha ID siyapendi kwa kweli yaani unakuwa kama kinyonga hivi
 
Nina umri mdogo (21) namaliza degree mwaka huu.

Nina maono ya maendeleo lakini natamani sana kuolewa, times za usiku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tena natamani kuzalishwa hata mwaka huu.

Hivi ninavyotamani ni kawaida au ni ujinga ninao?

Kweli unahitaji msaada murua, ni-pm nikupe msaada.
 
jamani mm ndo kwanza ni mgeni hapa jamvini wala sielewi
kwanini unanitafutia ubaya ambao sinao na kwanini
unaingilia kitu ambacho sijakwambia ywewe jamani
samahani

Back
Top Bottom