Tamaa Itanimaliza Jamani

Tamaa Itanimaliza Jamani

ukwel..wameolewa wote

hvi sasa ukidungwa mimba halafu jamaa akudamp utaweza kumlea mtoto vizuri au utawapelekea wazazi wako wamlee kama walivyokulea wewe?

hao walioolewa wanafurahia ndoa zao?

kumleta mtoto duniani ni serious issue inahiji kujipanga.
kuzaa sio kazi sana lkn kulea ndo issue.
tulia usome....ujenge maisha yako.
 
Nna umri mdogo (21) namalza degree mwaka huu..nina maono ya maendeleo lakn nataman sn kuolewa..tymz za ucku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tn nataman kuzalishwa hta mwaka huu. Hv ninavyotaman ni kawaida au ni ujinga ninao?

si kawaida wala ujinga. hilo ni PEPO KTK ROHO KAMILI YA UZINZI.
kemea kwa JINA LA YESU WA NAZARETI!
 
Nna umri mdogo (21) namalza degree mwaka huu..nina maono ya maendeleo lakn nataman sn kuolewa..tymz za ucku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tn nataman kuzalishwa hta mwaka huu. Hv ninavyotaman ni kawaida au ni ujinga ninao?

My dear age-mate!
Hiyo hali hata mie ilinitokea sana last year..nlikua natamani hayo mavitu sema tu nina bf ambaye anajielewa. Ananisaidia sana kimawazo na kunielekeza.
Wewe kuhisi hivyo ni sawa ila hayo si sawa. Unapaswa ufocus kutimiza malengo yako kwanza. Mfano mimi nina mpango wa kuunganisha masters mwaka huuhuu..hata nikifanikiwa kuajiriwa nitakapograduate Nov.
 
Nna umri mdogo (21) namalza degree mwaka huu..nina maono ya maendeleo lakn nataman sn kuolewa..tymz za ucku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tn nataman kuzalishwa hta mwaka huu. Hv ninavyotaman ni kawaida au ni ujinga ninao?

kahawa ama chai huwa tamu sana pale inapokuwa ya moto.

jifanye umekufa, utaona nani anakupenda zaidi.
 
Ni PM niwe huyo wa kukupa mambo matamu na nitakuambukiza mimba ndani ya mwezi mmoja unaanza kutapika, kupenda ndimu nk.
 
Nna umri mdogo (21) namalza degree mwaka huu..nina maono ya maendeleo lakn nataman sn kuolewa..tymz za ucku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tn nataman kuzalishwa hta mwaka huu. Hv ninavyotaman ni kawaida au ni ujinga ninao?

Sio ujinga. Utakuwa unakaribia ku-bleed coz JF walisema ukikaribia kubleed unakuwa na hamu za ajabu saaana. Yaani unatamani mguu uwe katka kiatu chako muda woote.
 
nna umri mdogo (21) namalza degree mwaka huu..nina maono ya maendeleo lakn nataman sn kuolewa..tymz za ucku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tn nataman kuzalishwa hta mwaka huu. Hv ninavyotaman ni kawaida au ni ujinga ninao?

tatizo lako wewe ni dogo sana, na hata baadhi ya marafiki zangu wamewahi kuwa na tatizo kama lako niliwashauri wakapona kabisa...!!!!!
Tuwasiliane kwa pm nikusahauri kwa kirefu naamini na wewe utapona.ondoa shaka....!!!!
 
whaaaaaat??

KingMajuto.jpg
 
Ni ujinga tu huo unakusumbua, na hapo ndipo mnapowapapatikiaga watu wawaoe na wanawapiga mimba na kuwapiga chini, na kwakuwa hampendi aibu huwa mnatoa, kwani ukimaliza chuo bila kuwa hata na boyfriend kama sio mume kinaharibika nn, malizia chuo katafute kazi ufanye
 
tatizo lako wewe ni dogo sana, na hata baadhi ya marafiki zangu wamewahi kuwa na tatizo kama lako niliwashauri wakapona kabisa...!!!!!
Tuwasiliane kwa pm nikusahauri kwa kirefu naamini na wewe utapona.ondoa shaka....!!!!
Mabazazi hawa, wanakutia mimba aafu wanasepa
 
Nna umri mdogo (21) namalza degree mwaka huu..nina maono ya maendeleo lakn nataman sn kuolewa..tymz za ucku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tn nataman kuzalishwa hta mwaka huu. Hv ninavyotaman ni kawaida au ni ujinga ninao?

Wewe ni wa kike au wa kiume?
 
Nna umri mdogo (21) namalza degree mwaka huu..nina maono ya maendeleo lakn nataman sn kuolewa..tymz za ucku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tn nataman kuzalishwa hta mwaka huu. Hv ninavyotaman ni kawaida au ni ujinga ninao?

Una pepo la ngono na umalaya umekukithiri.okoka
 
Back
Top Bottom