Tamaa Itanimaliza Jamani

Nina umri mdogo (21) namaliza degree mwaka huu.

Nina maono ya maendeleo lakini natamani sana kuolewa, times za usiku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tena natamani kuzalishwa hata mwaka huu.

Hivi ninavyotamani ni kawaida au ni ujinga ninao?
Umri wako ni tatizo pia, ukivuka utaacha
 
Nina umri mdogo (21) namaliza degree mwaka huu.

Nina maono ya maendeleo lakini natamani sana kuolewa, times za usiku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tena natamani kuzalishwa hata mwaka huu.

Hivi ninavyotamani ni kawaida au ni ujinga ninao?
Ni kawaida kabisa hadi siku utakayoingia kwenye ndoa na kukaa mwezi bila kutamani mgegedo na ku miss yale maisha ya kuwa ndio utajua ndoa na kulea watoto si kama kuchambua maharage
 
mimi sijaelewa vizur hapo kwenye mzigo,
tafdhal naomba unielezee vizur ni mzigo gani huo unaotaka kuutoa.???
 
Back
Top Bottom