Gumilapua
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 935
- 733
hahahahahaha,wanakimbilia wanafikiri asali?thts why am SINGLE
sometimes being single, is an indication that no one is interested with you!!
hahahahahaha,wanakimbilia wanafikiri asali?thts why am SINGLE
Joto linakusumbua wewe!!
Nina umri mdogo (21) namaliza degree mwaka huu.
Nina maono ya maendeleo lakini natamani sana kuolewa, times za usiku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tena natamani kuzalishwa hata mwaka huu.
Hivi ninavyotamani ni kawaida au ni ujinga ninao?
Upo kwenye umri wa nyyege nyingi, ukifika miaka 25 zitapungua. Sasa hivi tafuta mtu wa kukupiga mshedede haswaa lakini kumbuka kutumia mpira kila wakati. Ningekuwa TZ ningekusaidia kwa hilo la pia ningekulea vizuri hadi umalize shule yako na hamu yako ya mshedede ingeshuka kuwa ya kawaida. Natumaini wapo watakaokusaidia kwa hilo.
kwaiyo ulianza la kwanza na miaka 5? Nchi gani iyo tanzania au? Mwaka gan? Apo kwenu hamna watoto uwe unawadanganya danganya? Sera ya serekali uanzia 1994 wanafunz walitakiwa kuanza la kwanza na miaka 7 na kama amewah sana ni 6,mfano mimi nina 21 now and nipo 3rd year.....mbona simple tu
kwaiyo ulianza la kwanza na miaka 5? Nchi gani iyo tanzania au? Mwaka gan? Apo kwenu hamna watoto uwe unawadanganya danganya? Sera ya serekali uanzia 1994 wanafunz walitakiwa kuanza la kwanza na miaka 7 na kama amewah sana ni 6,
Mkuu wewe unaishi nchi gani? Mbona siku hizi ni jambo la kawaida mtoto kuanza darasa la kwanza na miaka mitano...!?kwaiyo ulianza la kwanza na miaka 5? Nchi gani iyo tanzania au? Mwaka gan? Apo kwenu hamna watoto uwe unawadanganya danganya? Sera ya serekali uanzia 1994 wanafunz walitakiwa kuanza la kwanza na miaka 7 na kama amewah sana ni 6,
Ni kawaida tu na ni umri sahihi wa kuolewa. Kama kuna MTU aliyepo tayari kuoa narudia tayari kuoa akakutolee posa akuoe ndo umpe mzigo wa halali. ILA jitahidi usiendeshwe na mihemko maana hutadumu kwenye ndoa. Angalia MTU Mwenye maono na maisha au Mwenye future na anayekupenda kwa dhati kabisa.Nina umri mdogo (21) namaliza degree mwaka huu.
Nina maono ya maendeleo lakini natamani sana kuolewa, times za usiku natamani ningekua na mwanaume wangu nimpe mzigo tena natamani kuzalishwa hata mwaka huu.
Hivi ninavyotamani ni kawaida au ni ujinga ninao?
Hadi minne wanaanza mbonakwaiyo ulianza la kwanza na miaka 5? Nchi gani iyo tanzania au? Mwaka gan? Apo kwenu hamna watoto uwe unawadanganya danganya? Sera ya serekali uanzia 1994 wanafunz walitakiwa kuanza la kwanza na miaka 7 na kama amewah sana ni 6,
Sio kweli huwa hazipungui zinakuwa pale pale mpaka atakapozeekaUpo kwenye umri wa nyyege nyingi, ukifika miaka 25 zitapungua. Sasa hivi tafuta mtu wa kukupiga mshedede haswaa lakini kumbuka kutumia mpira kila wakati. Ningekuwa TZ ningekusaidia kwa hilo la pia ningekulea vizuri hadi umalize shule yako na hamu yako ya mshedede ingeshuka kuwa ya kawaida. Natumaini wapo watakaokusaidia kwa hilo.
Mbona maneno ya zamani sana, yaani akishamaliza degree wanaume watamfuata wa kila aina kiasi kwamba atachagua tu, mkuu uko mkoa gani ambako madem waliosoma wanachagua wanaume mpaka sasa? Mimi nawajua madem wengi sana wenye degree na masters lakini wakuwaoa hawapo na wanatamani kuolewa kweliNi ujinga ulionao!Umri wako bado mdogo sana,kuwa na tamaa ya kugegedwa ni kawaida kwa umri wako lakini unatakiwa kuzishinda tamaa,utambue kuwa unatakiwa kuzingatia masomo kwanza sababu kuolewa kupo tu muda wowote unaweza kuolewa,tena utakapokuwa na elimu wanaume watakuja wa kila aina kazi itakuwa kwako ya kufanya uchaguzi!
Soma kwanza,acha ujinga