Kama hujui cha kuandika ni bora ukakaa kimya
Tanzania nchi ya ajabu sana, kuna mlolongo wa vitu ambavyo vina uhusiano na rushwa kubwa kubwa; sababu haingii akilini jengo hadi linaisha na watu wanahamia then eti tunakurupuka kwamba jengo ni refu ambapo mtu aliyeko juu anaweza kuichungulia ikulu.
Chochote kitakachofanyika, hata kama kuvunjwa au kulikondisha kwa usalama wa taifa - lakini kweli utabaki pale pale kwamba uongozi wa nchi hii una dhaifu - kuanzia ngazi ya chini hadi juu.
Na kama mkiamua kulivunja - jiandaeni kulipa Mabillion kama yale ya Dowans!! sababu mmiliki ana hati halisi, ana ana kibali cha uwekezaji.
Lakini kutokana na mabadiliko ya tekinolojia hapa dunia waweza hit ikulu ukiwa popote pale.
Hapo sasa kama wanajari usalama wa Rais wetu inabidi serikali ichukue ghorofa kazaa ziwe ofisi zake kwa walinzi wake.
Kikwete janga kubwa la taifa.
Kama hujui cha kuandika ni bora ukakaa kimya
Na wewe ni mmoja wao hao mazuzu? mbona unamshambulia mtu kutoa maoni yake! Kila mmoja ana uhuru wa kuandika anavyoelewa na kujisikia
Cku sniper ikimparaza hakika cku hiyo hiyo litabomolewa, hii nchi maamuzi ya busara hayafanyiki mpaka kuwe na tukio hatarishi..
si kila mtu anachoongea kinakuwa sahihi. wengine wanaandika pumba tu. hawajui kitu lakini wanajifanya wanajua
Cku sniper ikimparaza hakika cku hiyo hiyo litabomolewa, hii nchi maamuzi ya busara hayafanyiki mpaka kuwe na tukio hatarishi..
Lakini kutokana na mabadiliko ya tekinolojia hapa dunia waweza hit ikulu ukiwa popote pale.
Hapo sasa kama wanajari usalama wa Rais wetu inabidi serikali ichukue ghorofa kazaa ziwe ofisi zake kwa walinzi wake.
Mimi sielewi kabisa watu,huyo jamaa kujenga hilo jumba hakua na niambaya,tena hata ikulu hawakua na wasiwasi wowote,sasa hawa waamerika kwasababu za kuwindwa ndio kuzusha hizo kesi,au ndio kuogopa wasi muhit.
labda sniper wa red bridgade