Rais wa Tanganyika hua analindwa na Mungu.. maana hata hao wana mlinda nao ni vimeo.
Kagame alisema anasubiri muda mwafaka watu wake walitumie jengo hilo hilo kum-hit.so far mmewakaribisha wanyarwanda kwenye usalama wenu wa taifa.Nani anajali maisha yake....tna yawe hatarini zaidi ya hapo
ukiangalia mchakato wa hili jengo lilivyosimama hapo lilipo utakuta hawa wasiochukua hatua ndio wamiliki na wanasikilizia zali kwa malengo yafuatayo:
1. Either wanataka (kwa mawazo yao) rais ajaye asiwe na uhuru wa kufanya kazi maana watakuwa wanamchungulia kila
wakati.
2. wanajua kuwa serikali (iliyo makini) haitakubaliana na hilo jengo kuwepo hapo hivyo kuamua kulinunua ambapo wataset
bei za juu mara hata 10 ya gharama halisi.
3. Au yote hayo yasiwe lakini ni udhihirisho wa ni jinsi gani Watanzania (sote) walivyo wapumbavu hata kwenye mambo
ya msingi!
This list of tallest buildings in Washington, D.C. ranks high-rises in the U.S. capital city of Washington, D.C. The tallest structure in the city, excluding radio towers, is the Washington Monument, which rises 555 feet (169 m) and was completed in 1884. The structure, however, is not generally considered a high-rise building as it does not have successive floors that can be occupied. The tallest habitable building in the city is the Basilica of the National Shrine of the Immaculate Conception, which rises 329 feet (100 m). The second-tallest building in Washington is the Old Post Office Building, which is 315 feet (96 m) high. The third-tallest building in the city is theWashington National Cathedral, which rises 301 feet (92 m) above grade. The cathedral is built on high ground known as Mount St. Alban, 400 feet (120 m) above sea level, which makes the central tower the "highest" point in the District.[SUP][1][/SUP] As of November 2011, there are 410 completed high-rises in the city.
Washington's history of sky scrapers began with the completion in 1894 of the 14-story Cairo Hotel, which is considered to be the city's first high-rise.The building rises 164 feet (50 m) and 14 floors.[SUP][3][/SUP] Washington went through an early high-rise construction boom from the late 1890s to the mid-1930s, during which time the Old Post Office Building and the Federal Triangle were built. The city then experienced a major building boom from the early 1940s to the late 1990s, during which the city saw the completion of 31 of its 48 tallest buildings, including One Franklin Square and 700 Eleventh Street. However, although the city is home to several high-rises, none are considered to be genuine "skyscrapers"; only two completed buildings surpass 200 feet (61 m).
The height of buildings in Washington is limited by the Height of Buildings Act. The original Act was passed by Congress in 1899 in response to the 1894 construction of the Cairo Hotel, which is much taller than the majority of buildings in the city. The original act restricted the heights of any type of building in the United States capital city of Washington, D.C., to be no higher than 110 feet (34 m), 90 feet (27 m) for residential buildings. In 1910, the 61st United States Congress enacted a new law which raised the overall building height limit to 130 feet (40 m), but restricted building heights to the width of the adjacent street or avenue plus 20 feet (6.1 m); thus, a building facing a 90-foot (27 m)-wide street could be only 110 feet (34 m) tall.[SUP][5][/SUP] However, building heights are measured from the sidewalk or curb to the edge of the roof. Architectural embellishments, mechanical rooms, and common rooftop structures may be exempted from the overall height limit, provided they are setback from the roof line.The heights of buildings listed here may therefore exceed the general height limit as measured for the purpose of the city's zoning laws.
In modern times the skyline remains low and sprawling, keeping with Thomas Jefferson's wishes to make Washington an "American Paris" with "low and convenient" buildings on "light and airy" streets.Washington's height restriction, however, has been assailed as one of the primary reasons why the city has inflated rents, limited affordable housing, and traffic problems as a result of urban sprawl. To escape the District's height restriction, architects wishing to construct higher buildings close to downtown often do so in Rosslyn, Virginia, directly across the Potomac River from Georgetown.+
One of the most recently completed buildings in Washington, D.C. is Capitol View, which is 171 feet (52 m) high. As of July 2008, there is one high-rise under construction in the city that is expected to rise at least 150 feet (46 m), with one more proposed and one approved for construction. Onyx on First is the only high-rise under construction in Washington; upon completion, it will be the 14th-tallest building in the city.Two other large developments taking place are Square 54 Residential I, which is proposed for construction, and the PNC Bank Building, which is approved. The Square Residential I building at George Washington University is expected to rise to a height of 160 feet (49 m) and 14 stories, while the PNC Bank Building is expected to rise to a height of 151 feet (46 m) and 12 stories. As of July 2008, there is a total of four high-rise buildings under construction, approved for construction and proposed for construction in Washington.
Kwa maana hiyo hao wanaojiita Usalama wa Taifa hili ni mazuzu kabisa. Iweje wasigundue hilo mapema? wao ndio wenye kazi ya kuhakikisha usalama hasa wa Ikulu, au wanajua tu kukimbiza misafara na kutugandisha barabarani weeeeeee! hovyo kabisa
Tangu msingi hadi finishing TISS walikuwa wapi?wacha auwawe kwanza ametuletea matatizo yasiyoweza kusafishika tanzania,wanaweza mmaliza leo?
Je hapa Benki Kuu ya Tanzania Twin Towers akiingia gaidi hawezi kupata usawa wa IKULU ya Mkulu? nafikiri jambo jema ni kuimarisha ulinzi wa majengo marefu (Lighthouse Dar-es-Salaam Port) yanayoweza kutumiwa na 'magaidi' kuyateka kupiga kombora IKULU. Serikali iandae mkakati wa kuhakikisha majengo yote marefu yenye mwelekeo wa kuiona IKULU kwa urahisi yanapatiwa ulinzi wa kisasa kama wa 'FBI' na Secret Service ya USA walipokuwa hapa Tanzania wakati wa ujio wa Rais wa Marekani.![]()
![]()
![]()
kiukweli sijaelewa relevancy ya copy and paste yako...hapa tatzo ni ukaribu wa jengo refu na ikulu ..wewe ukakopi na kuleta habari za majengo marefu..hata dar yapo marefu kuliko hili...labda sijakuelewa
WAPENDEKEZA JENGO LIVUNJWE
Habari zaidi zinasema FBI hao walipendekeza jengo hilo livunjwe ama liwe la serikali na waishi wana usalama wanaolinda viongozi wa kitaifa.
Walinunue tu hilo jengo, nadhani ndiyo ilikua plan ya jamaa maana unataka uniambie alikua hajui kua liko karibu na ikulu?
Msela alijenga ili walete zongobingo aliuze, walinunue waweke watu wa usalama humo waache kupoteza muda