Taliban yapiga marufuku wanawake kujiunga vyuo vikuu Afghanistan

MAMA SAMIA bila elimu dunia U rais angeupata wapi?
Ana elimu gani huyo mama yako? Nikikwambia uniletee education background ya huyo mama yako (inayoeleweka), utaileta?

Kutoka masijala na kusambaza chai maofisini mpaka kuwa rais, ni jambo la bahati na sio Elimu. Yupo pale kwakua katiba ilitaka hivyo.
 
Ila Sasa nani anawatibu na kuwazalisha
Wanaume,ndicho Taliban baadhi wanachokereka,unajua Taliban siyo Kama CCM kwamba inatoka juu kauli moja na inafuatwa,Taliban Kuna mamullah wengi na kila mmoja ana mtazamo wake,Sasa wapo wengine hawataki binti asome,wengine wanaona udwanzi wake zao kuchinguliwa na njemba hospitali,wengine Hadi Twitter na Facebook wamo
 
Waarabu walikosa Elimu maamuzi yao mengi yapo katika wivu na kumkandamiza mwanamke kwa mgongo wa Dini...hakuna Nchi hapo wahuni tuu na wanedanganyana eti Elimu kwa Wanawake ni kufuata mambo ya Nchi za Magharibi...
 
Adriz wanacho fanya taliban ni sahihi au sio sahihi
Sahihi sababu kusoma ni haki ya kila mtu ila lazima iangaliwe mtaala unafundisha nini na mazingira ni sahihi ? Sasa watu wanatoa chumvi nyingi pasipo na msingi wakati tokea mwanzo Taliban hawakuzuia mtoto wa Kike kupata elimu ila wanataka waboreshe mazingira ya upatikanaji kuwa bora na salama zaidi kwao.
 
kuna mda ndugu zangu waislamu mnisikilize dini inawavuruga kichwa.
Huyo mwanamke unayemzuia kusoma mfano udaktari,ukunga na mengine unataka mke wako akizaa azalishwe na mwanaume.maana dini yenu inakataza kuona maumbile ya mwanamke.

kwa kujidanganya sasa Hoo dini yetu ndio imegundua sayansi ! wapi kwenye maandiko pameandikwa toyota Ist !.

Ila mtakaa kimya maana inawachoma.

Dini hizi tumeletewa tu ?
Tatizo watu wengi linapokuja swala kuhusu uislamu wanakosa UADILIFU ,soma na fiatilia taarifa kea umakini katika vyanzo husika Uislamu katika kila ruhusa imeweka limit kwa ajili ya faida na usalama wa muhusika . Taliban hawajazuia moja kwa moja bali wwmezuia kwa muda kwa mujibu wa kuboresha mazingira na mitaala iwe salama zaidi kwao.
 
Utawala wa Taliban Nchini Afghanistan umeamuru kupiga marufuku kwa muda usiojulikana elimu ya chuo kikuu kwa wanawake wa nchi hiyo.

Taarifa Iliyo Tolewa na wizara ya elimu ya juu ilisema katika barua iliyotumwa kwa vyuo vikuu vyote vya serikali na vya kibinafsi.

"Nyote mnaarifiwa kutekeleza agizo lililotajwa la kusimamisha elimu ya wanawake hadi ilani nyingine," ilisema barua hiyo iliyotiwa saini na waziri wa elimu ya juu, Neda Mohammad Nadeem.

Msemaji wa wizara hiyo, Ziaullah Hashimi, ambaye alituma barua hiyo kwenye Twitter, alithibitisha agizo hilo katika ujumbe mfupi wa maandishi kwa Agence France-Presse.

Marufuku ya elimu ya juu inakuja chini ya miezi mitatu baada ya maelfu ya wasichana na wanawake kufanya mitihani ya kujiunga na chuo kikuu kote nchini, huku wengi wakitamani kuchagua uhandisi na udaktari kama taaluma ya baadaye.

baada ya kutwaliwa kwa Afghanistan na Waislam wenye msimamo mkali mwezi Agosti mwaka jana, vyuo vikuu vililazimika kutekeleza sheria mpya ikiwa ni pamoja na madarasa na viingilio vinavyotenganisha jinsia, na wanawake waliruhusiwa tu kufundishwa na maprofesa wa kike au wazee.

wasichana wengi wa Afghanistan tayari wamepigwa marufuku kutoka kwa elimu ya shule ya upili, na hivyo kupunguza sana uandikishaji wa chuo kikuu.

wa Taliban wanafuata toleo kali la Uislamu, huku kiongozi mkuu wa vuguvugu hilo, Hibatullah Akhundzada, na kundi lake la ndani la makasisi wa Afghanistan wakipinga elimu ya kisasa, hasa kwa wasichana na wanawake.

lakini wanatofautiana na maafisa wengi wa Kabul na baadhi ya vyeo na faili zao, ambao walitarajia wasichana wangeruhusiwa kuendelea na masomo baada ya unyakuzi huo.

Wanawake wamefukuzwa kazi nyingi za serikali au wanalipwa mshahara mdogo ili kukaa nyumbani. pia wamezuiwa kusafiri bila ndugu wa kiume, na lazima wajifiche nje ya nyumba, kwa hakika na burqa.

Mnamo Novemba walipigwa marufuku kwenda kwenye mbuga, viwanja vya michezo, ukumbi wa michezo na bafu za umma.

katika zamu ya kikatili, Taliban mnamo Machi waliwazuia wasichana kurejea shule za upili asubuhi ambayo walipaswa kufunguliwa tena.

maafisa kadhaa wa Taliban wanasema marufuku ya elimu ya sekondari ni ya muda tu, lakini wametoa visingizio vingi vya kufungwa, kutoka kwa ukosefu wa fedha hadi wakati unaohitajika kurekebisha silabasi kwa misingi ya Kiislamu.

tangu kupiga marufuku, wasichana wengi matineja wameolewa mapema, mara nyingi na wanaume wakubwa zaidi waliochaguliwa na baba zao.

Sambamba na shinikizo la kiuchumi, familia kadhaa zilizohojiwa na AFP mwezi uliopita zilisema kuwa kupata maisha ya baadaye ya binti zao kupitia ndoa ni bora kuliko wao kukaa bila kufanya kazi nyumbani.

jumuiya ya kimataifa imefanya haki ya elimu kwa wanawake wote kuwa msingi wa mazungumzo juu ya misaada na utambuzi wa utawala wa Taliban.

"Jumuiya ya kimataifa haijasahau na haitawasahau wanawake na wasichana wa Afghanistan," baraza la usalama la Umoja wa Mataifa lilisema katika taarifa mwezi Septemba.

katika miaka 20 kati ya tawala mbili za Taliban, wasichana waliruhusiwa kwenda shule na wanawake waliweza kutafuta ajira katika sekta zote, ingawa nchi ilibakia kuwa na uhafidhina wa kijamii.
___________________

Afghanistan’s Taliban rulers have ordered an indefinite ban on university education for the country’s women, the ministry of higher education said in a letter issued to all government and private universities.

“You all are informed to implement the mentioned order of suspending education of females until further notice,” said the letter signed by the minister for higher education, Neda Mohammad Nadeem.

The ministry’s spokesperson, Ziaullah Hashimi, who tweeted the letter, confirmed the order in a text message to Agence France-Presse.

The ban on higher education comes less than three months after thousands of girls and women sat university entrance exams across the country, with many aspiring to choose engineering and medicine as future careers.

After the takeover of Afghanistan by the hardline Islamists in August last year, universities were forced to implement new rules including gender-segregated classrooms and entrances, and women were only permitted to be taught by female professors or old men.

Most Afghan teenage girls have already been banned from secondary school education, severely limiting university intake.

The Taliban adhere to an austere version of Islam, with the movement’s supreme leader, Hibatullah Akhundzada, and his inner circle of Afghan clerics opposed to modern education, particularly for girls and women.

But they are at odds with many officials in Kabul and some of their rank and file, who had hoped girls would be allowed to continue learning after the takeover.

Women have been pushed out of many government jobs or are being paid a slashed salary to stay at home. They are also barred from travelling without a male relative, and must cover up outside the home, ideally with a burqa.

In November they were prohibited from going to parks, funfairs, gyms and public baths.

In a cruel U-turn, the Taliban in March blocked girls from returning to secondary schools on the morning they were supposed to reopen.

Several Taliban officials say the secondary education ban is only temporary, but have given a litany of excuses for the closure, from a lack of funds to time needed to remodel the syllabus along Islamic lines.

Since the ban, many teenage girls have been married off early, often to much older men of their father’s choice.

Coupled with economic pressure, several families interviewed by AFP last month said that securing their daughters’ future through marriage was better than them sitting idle at home.

The international community has made the right to education for all women a sticking point in negotiations over aid and recognition of the Taliban regime.

“The international community has not and will not forget Afghan women and girls,” the UN security council said in a statement in September.

In the 20 years between the Taliban’s two reigns, girls were allowed to go to school and women were able to seek employment in all sectors, though the country remained socially conservative.
Hawa nao utadhani wanaishi mwaka 1200..
Mambo yao ni ya ovyoo..!
 
kuna mda ndugu zangu waislamu mnisikilize dini inawavuruga kichwa.
Huyo mwanamke unayemzuia kusoma mfano udaktari,ukunga na mengine unataka mke wako akizaa azalishwe na mwanaume.maana dini yenu inakataza kuona maumbile ya mwanamke.

kwa kujidanganya sasa Hoo dini yetu ndio imegundua sayansi ! wapi kwenye maandiko pameandikwa toyota Ist !.

Ila mtakaa kimya maana inawachoma.

Dini hizi tumeletewa tu ?
Hakuna sayansi yoyote kwenye uislam zaidi ya mambo ya kishirikina
 
Sahihi sababu kusoma ni haki ya kila mtu ila lazima iangaliwe mtaala unafundisha nini na mazingira ni sahihi ? Sasa watu wanatoa chumvi nyingi pasipo na msingi wakati tokea mwanzo Taliban hawakuzuia mtoto wa Kike kupata elimu ila wanataka waboreshe mazingira ya upatikanaji kuwa bora na salama zaidi kwao.
Oky adriz huwa naelewa ufafanuz wako hutumii nguvu wala matusi tofauti na wengine
 
Hii amri iwahusu waislam wote duniani, hakuna mabinti kusoma.
Marafiki zangu wadada wa kiislam TRA ARUSHA mpoo .....oneni ujinga wa wenzenu
 
Tatizo watu wengi linapokuja swala kuhusu uislamu wanakosa UADILIFU ,soma na fiatilia taarifa kea umakini katika vyanzo husika Uislamu katika kila ruhusa imeweka limit kwa ajili ya faida na usalama wa muhusika . Taliban hawajazuia moja kwa moja bali wwmezuia kwa muda kwa mujibu wa kuboresha mazingira na mitaala iwe salama zaidi kwao.
Usijitoe ufahamu. Mbona watoto wako wa kike unawasomesha.. elimu Bora kabisa na Mazingira Bora yapo huko magharibi.. elimu ya huko Afghanistan ni sawa na ya huku kwetu. Haina matokeo chanya katika Dunia ya Sasa.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Usijitoe ufahamu. Mbona watoto wako wa kike unawasomesha.. elimu Bora kabisa na Mazingira Bora yapo huko magharibi.. elimu ya huko Afghanistan ni sawa na ya huku kwetu. Haina matokeo chanya katika Dunia ya Sasa.

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
Hakuna aliyekataa kuwasomesha ,mazingira bora kila sehemu ina taratibu zake kabla ya Taliban hapo katika usomaji wanaume na wanawake walikuwa wanachanganyika Taliban walipoingia wakaua huo mfumo sasa ukibadilisha mfumo siku zote lazima kunavitu uongeze katika miundombinu nk ili iweze kuendana na mfumo mpya kutoka wa zamani sasa wao wameona wawapumzishe kwanza kwa muda ilimradi waje na njia na miundombinu ya ufanisi kuendana na mfumo wao mpya.

Elimu ya Magharibi kuna baadhi ya nchi wana mitaala na vitabu vinavyopandikiza mbegu za ushoga,mapenzi ya jinsia moja ,ufeminisism na ajenda nyingine hata mimi nikiwa kiongozi lazima nikague mitaala nilijikuta na kufuta vitu vingine vichafu na visivyo na Mantiki.Hakuna ubaya katika kuiga kilichobora kama kuna vitu vya kimagharibi vizuri havipelekei kukufuru ,maasi na uovu mwingine kuiga hakuna ubaya.
 
elimu mpaka darasa la saba mwanamke inamtosha, akitoka hapo akasomee kazi za mikono, zaidi ya hapo ni kujitafutia matatizo

naungana na Taliban na DeepPond kwa hili
Onesha mfano kwa kumuachisha mwanao shule akifika darasa la 7, asiende sekondari.
 
Watoto wao kike wa viongozi wapo nchi za nje wanasoma hao wanazuia wa maskini wasiende shule ili wawatawale vizuri.
 
Mwanamke kwenye uislamu huonwa kama mfugo, ng'ombe kazi yake kufyatua watoto tu, kuanzia mtume wao kuchafua katoto ka miaka 9 mpaka leo hii.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom