Talaka ya Zuchu imevunja rekodi ya Dunia

 
Zipo ndoa nying tu zinavunjika ndani ya week moja. Nimeshuhudia ndoa kama tatu.

Sometimes mwanaume unaambiwa bint bikra unaona hapa nimepata unavumilia kwamba usubir baada ya kufunga ndoa ndio umbikir mkeo.

Siku ya ndoa Sasa mkifika chumban unapigwa na kitu kizito
 
Unaweza ukakuta hawana ndoa wanaigiza na hata hizo talaka ni maigizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…