jembe afrika
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 7,602
- 3,783
- Thread starter
- #21
kweli mkuuHilo ndilo tatizo la kukimbilia talaka. Mnaposhindwanahatua ya kianzia kuchukua ni kutengana. Hii ina maana hamuendi mahakamani kutafuta talaka bali mume kutoa kibali cha mandishi cha kumruhusu mke arudi na kuishi kwa wazazi hadi mgogoro wao utakapotatuliwa. Hili laweza kufanyika hata kwenye ofisi ya mwenyekiti wa mtaa tu. Hatua hii inawapa fursa ya kuchanganua natatizo yenu na ikibidi kukubaliana kurudiana.