Talaka muhimu.kama upo tayar kukaa na mke au mume unajua anytime anabeba ukimwi nje na kuuleta ndani ni wewe.
Binafsi sikubali kuangamia naona kisa kanisa lasema no talaka after ndoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimemuuliza mchungaji kasema atanipatia majibu siku nyingine, kwa sasa yupo busy na maandalizi ya kufungisha ndoa jioni ya leo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nimemuuliza mchungaji kasema atanipatia majibu siku nyingine, kwa sasa yupo busy na maandalizi ya kufungisha ndoa jioni ya leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajitahidi kumfuatilia mkuu mpaka anipatie majibuHawezi kukupa mrejesho Mkuu
Duuh... kwa maana hiyo hii thread inaweza isipate replies zaidi ya 20?Watanzania tulivyo wavivu kusoma, ngoja nitasoma comment za wachangiaji nitapata picha.
[emoji23][emoji23] hata ukikuta anapiga mechi live na mchepuko?ntapambana nae sitoi talaka
Inatolewa kwa sharti hiyo talaka....sio umeamka asubuhi chai haijawekwa iriki unatoa talaka...makazi yako motoni tu.......talaka itolewe pale inapobidi na unaona kabisa hakuna namna lazima itoke na si vinginevyoKwasisi waislam raha sana talaka ruksa kuoa mke zaidi ya mmoja ruksa
Sent using Jamii Forums mobile app
fresh tu mbona ht me hua natembezaga bakora nje
Akitokea mkweli kama huyo anapingwa bila hoja na kulazimishwa aamini wayasemayo na sio kumpa maandiko ajihakikishie yaliomoWatu wanpotoshwa kichizi Mkuu
Na nani?Kwa hali ilipofikia sasa talaka ziruhusiwe tu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Umefanya vyema kuhoji ndo kujua najua utamkumbusha akijisahau na asipokujibu naamini jibu utakua nalo baada tu ya kukupiga chengaMkuu nimemuuliza mchungaji kasema atanipatia majibu siku nyingine, kwa sasa yupo busy na maandalizi ya kufungisha ndoa jioni ya leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemnyoosha vyemaInatolewa kwa sharti hiyo talaka....sio umeamka asubuhi chai haijawekwa iriki unatoa talaka...makazi yako motoni tu.......talaka itolewe pale inapobidi na unaona kabisa hakuna namna lazima itoke na si vinginevyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wengi ni wakurupukaji katika hayo mambo mawili.......unakuta mtu hajasoma maandiko wala nini ila kwa kua alisikia Fulani anasimulia basi analibeba juujuu......talaka ina sharti zake katika uislamu pia ndoa ya mitala ina sharti zake pia....sasa unakuta limeoa baada ya miezi kadhaa linakwambia nataka kumwacha yule mwanamke ukiuliza sababu anakwambia nimemchoka tu au maisha magumu daaaaah ........hawajui kama wanamchukiza munguUmemnyoosha vyema
Wasiojua wanazani ni rahisi kutoa talaka wamepotea kifikra
Wasiojua wasizani kuowa wake zaidi ya mmoja ni rahisi hizi ni fikra potofu pia
Kuna mipaka na masharti yake
Hili ni la wote wafatao vitabu vya MunguTupo pamoja mkuu, "alichounganisha Mungu asitenganishe binadamu" Tangu lini Mungu akaunganisha watu na starehe zao? Nashangaa wana ndoa wanadundana kila siku wanashindwa kutengana kwa kuogopa huo msemo! Talaka kama kazi hakuna cha kuunganishwa, haunganishwi mtu hapa!hongera waislamu kwa kuliona hilo!
Wife nimemuonesha nukuu za torati alizotoa mleta uzi, naona kawa mpole sana. Nadhani amehisi kituUmefanya vyema kuhoji ndo kujua najua utamkumbusha akijisahau na asipokujibu naamini jibu utakua nalo baada tu ya kukupiga chenga
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] kwa nini ahisi kitu ......kwani anajihisi ana tabia ambazo hazikupendezi kwamba unaweza kumpa talaka????Wife nimemuonesha nukuu za torati alizotoa mleta uzi, naona kawa mpole sana. Nadhani amehisi kitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kajua soon anapigwa chiniWife nimemuonesha nukuu za torati alizotoa mleta uzi, naona kawa mpole sana. Nadhani amehisi kitu
Sent using Jamii Forums mobile app