Habari wana Bodi.
Nimekua nikiwaza marakadhaa kuu ya hizi takwimu za mtandao wangu pendwa mzee nisie na makuu.
Hivi ni sahihi kweli kwamba tuko watu laki sita na ushee tuu?
Post zilizotumwa huku ni sahihi?
Nikiwaza ndugu yangu
GENTAMYCINE anaweza akawa anapost zaidi ya laki 4 peke yake jinsi alivyo member active huku.
Hebu tusaidieni kuangalia hili
Asante nawasilisha.