Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Gazeti la Mwananchi la Januari 31, 2026 hii ndiyo haba kuu ambapo wamedai, Bosi wa Takukuru afunguka sakata likichukua sura mpya, orodha yasubiriwa. Wasomi wataka hoja zisiishie bungeni, hatua zifuate.
Huku Chief Odemba akiandika alichokisema, Crispin Chalamila, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).
"Kwa wajibu tu wa kiraia na kizalendo Shabiby atakuja (TAKUKURU), ataleta rasmi hizo taarifa pengine kuliko namna alivyofanya. Kwa hiyo tutamtafuta atupe hizo taarifa kama taasisi na kama hatotufuata, sisi tutamtafuta atupe taarifa alizonazo tuzifanyie kazi kwa hatua zaldi."