Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,959
- 95,282
Duuu hivi Avon bado zipo?
Anagawa avon huku yeye akila upepo kwenye VX.

Ccm bila rushwa haiwezekani.TAKUKURU wilayani Nzega wamezuia zoezi la ugawaji wa pikipiki na baiskeli lililokuwa likiendelea kwenye chuo cha Uuguzi, Kitongo Nzega.
Kwenye zoezi hilo, Katibu wa Mbunge wa Nzega vijijini Furaha Bazirio anahojiwa kwa tuhuma hizo za kutoa Rushwa ya pikipiki na baiskeli na kundi la wajumbe 43 toka kata ya Wela waliokuwa wamekusanyika kwenye eneo hilo wametakiwa kuondoka bila kuchukuwa zawadi.
Pia soma> Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega
Mamati au mama tiffahMtajuana wenyewe, pambaneni huko wee sisi tunawasubiri Mamati Kuu Dodoma...tutabaki na tunaowahitaji....wahamiaji hata mmoja hakatwi hata kama ana kura 2 jimboni...hutaki hama chama mapemaa.
TAKUKURU wilayani Nzega wamezuia zoezi la ugawaji wa pikipiki na baiskeli lililokuwa likiendelea kwenye chuo cha Uuguzi, Kitongo Nzega.
Kwenye zoezi hilo, Katibu wa Mbunge wa Nzega vijijini Furaha Bazirio anahojiwa kwa tuhuma hizo za kutoa Rushwa ya pikipiki na baiskeli na kundi la wajumbe 43 toka kata ya Wela waliokuwa wamekusanyika kwenye eneo hilo wametakiwa kuondoka bila kuchukuwa zawadi.
Pia soma> Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega
TAKUKURU wilayani Nzega wamezuia zoezi la ugawaji wa pikipiki na baiskeli lililokuwa likiendelea kwenye chuo cha Uuguzi, Kitongo Nzega.
Kwenye zoezi hilo, Katibu wa Mbunge wa Nzega vijijini Furaha Bazirio anahojiwa kwa tuhuma hizo za kutoa Rushwa ya pikipiki na baiskeli na kundi la wajumbe 43 toka kata ya Wela waliokuwa wamekusanyika kwenye eneo hilo wametakiwa kuondoka bila kuchukuwa zawadi.
Pia soma> Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega
Pole ni kwa Yanga aliyefungwa 1 0 na Ruvushuting kwenye ligi na kuporwa point zote 3.Pole sana jana Simba kwa kubanwa mbavu na Ruvu. Hata CHADEMA unayoshabikia Oktoba mwendo ni huo
CCM huwa hawakosi sababu wakitaka kumchinja mtu! Nakumbuka walisema Seleli amekosa mvuto na Bashe ana makandokando ya uraia! Kisha wakasema zamu ya U Spika ni ya Mwanamke na hivyo kumchinja mzee Sitta!!
tatizo kigwangala kamuiga mwenzake Hussein bashe mwenzake mjanja Sana aligawa baskeri na pikipiki mwaka jana. wishoni na kusema anagawa ili kujenga chama sasa uyu anagawa mda wa chaguzi umefika imekula kwakeMganga wa kigwangala hovyo sana
Wanasherehesha tu, ukizunguka uani huenda utawakuta wako pamoja wanaendelea.TAKUKURU wilayani Nzega wamezuia zoezi la ugawaji wa pikipiki na baiskeli lililokuwa likiendelea kwenye chuo cha Uuguzi, Kitongo Nzega.
Kwenye zoezi hilo, Katibu wa Mbunge wa Nzega vijijini Furaha Bazirio anahojiwa kwa tuhuma hizo za kutoa Rushwa ya pikipiki na baiskeli na kundi la wajumbe 43 toka kata ya Wela waliokuwa wamekusanyika kwenye eneo hilo wametakiwa kuondoka bila kuchukuwa zawadi.
Pia soma> Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega
Hakuna ata kapicha mkuu?TAKUKURU wilayani Nzega wamezuia zoezi la ugawaji wa pikipiki na baiskeli lililokuwa likiendelea kwenye chuo cha Uuguzi, Kitongo Nzega.
Kwenye zoezi hilo, Katibu wa Mbunge wa Nzega vijijini Furaha Bazirio anahojiwa kwa tuhuma hizo za kutoa Rushwa ya pikipiki na baiskeli na kundi la wajumbe 43 toka kata ya Wela waliokuwa wamekusanyika kwenye eneo hilo wametakiwa kuondoka bila kuchukuwa zawadi.
Pia soma> Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega
Huyu amezoea kutoa hongo, kuna kipindi tena alikamatwa anagawa vitumbua!TAKUKURU wilayani Nzega wamezuia zoezi la ugawaji wa pikipiki na baiskeli lililokuwa likiendelea kwenye chuo cha Uuguzi, Kitongo Nzega.
Kwenye zoezi hilo, Katibu wa Mbunge wa Nzega vijijini Furaha Bazirio anahojiwa kwa tuhuma hizo za kutoa Rushwa ya pikipiki na baiskeli na kundi la wajumbe 43 toka kata ya Wela waliokuwa wamekusanyika kwenye eneo hilo wametakiwa kuondoka bila kuchukuwa zawadi.
Pia soma> Waziri Kigwangalla amwaga baiskeli Nzega
Unaona jinsi dhambi ya Kange Lugora inavyoharibu watu na kuendelea kumwita kiongozi wetu kwa kufuru!! Huyu Lugora asipotubu hadharani, Kila dhambi ya kufuru itahesabiwa juu yake, na laana yake itampata ghafla!!Porojo tu hizo, huyu ni MTUME wa YESU wa Tanzania kama alivyo MTUME Lugola!
Kwani Magufuli amemkemea? Ina maana anaafiki kuwa yeye ni YESU. Mtu ukichukia unakemea aliyesema maneno hayo. Amenyamaza kimya, means consent! hata kwenye sheria, Silence means consent!Unaona jinsi dhambi ya Kange Lugora inavyoharibu watu na kuendelea kumwita kiongozi wetu kwa kufuru!! Huyu Lugora asipotubu hadharani, Kila dhambi ya kufuru itahesabiwa juu yake, na laana yake itampata ghafla!!