Erwin Rommel
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 429
- 115
Hebu mchambueni huyu mtu anaitwa Masaburi. Huyu ni Meya wa Dar es Salaam. Huyu ndiye aliyeuza UDA katika mazingira ya utata. Alikomba mabilioni. Leo anatumia pesa hiyo ya wizi kutaka ubunge jimbo la Ubungo, mkewe anagawa hayo mapesa kusaka ubunge viti maalum, binti yake anasambaza noti kuutafuta ubunge Tarime na tayari amezusha mtafaruku. Pia kuna vijana wake wawili nao wanatumia pesa chafu ya baba yao kutafuta udiwani. Mbona uchafu huu vyombo vya habari makini mnalinyamazia?? Anika uchafu huu.