Siku CHADEMA ikichukua madaraka iwafute kazi mkurugenzi wa TAKUKURU na mkurugenzi wa makosa ya jinai

ebaeban

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
2,205
2,690
Weekend njema, mods wakipenda basi watanzania mpanuke mawazo siku nzima ya leo.

CHADEMA ikichukua madaraka basi watu hao juu wasichukue nusu saa ofisini wafungashe virago mala moja kwa kufukuzwa kazi kwa manufaa ya umma au kwa kupangiwa kazi nyingine.

Background information
Madhara Ya rushwa ni kuwadhurumu hadi watu wengine ambao ni wahitaji wa kweli kabisa rushwa inawapitia hadi kuwashima haki zao hao wahitaji hadi wengine kupoteza maisha kama walioangukiwa na ghorofa kifupi rushwa inawanyima haki watu wengi na kuwapa haki wachache.kuna rushwa ndogo ambazo hazina madhara na rushwa kubwa ambazo zina madhara makubwa hadi kuharibu uchumi wa nchi husika.
Mimi na sutwa na nafsi kuandika haya kwa maana kutokana na nafasi nilipo ninajua mengi ambayo nashindwa kuwapa habari au niliwapa habari wahusika na hawakuchukua hatua zozote.

Mkurugenzi wa makosa ya jinai (DPP) na mkurugenzi wa TAKUKURU.

Viongozi hao hapo juu kama wanawajibika ipasavyo wanao uwezo wa kuzuia rushwa kubwa ambazo kutekelezwa kwazo zinawapa madhara watu wengine. Nasema hakuna deal yoyote kubwa imefanyika hapo inchini bila hao watu kujua hapo Mkurugenzi wa usalama wa taifa huyu simtaji kabisa maana ninamhesabu kama hayupo nimewataja hao hapo kwa maana ingalao wanafurukuta. Ili wafanye kazi yenye tija na kazi zao zizae matunda ni lazima wafanye kama team, yaani wafanye teamwork kunyume cha hivo wakiwa antagonist each other basi ujue watoa rushwa kubwa na wapokea rushwa wakubwa (hao wa pili wakiwa ni wao wenyewe) watapata manufaa makubwa.

Tuna ushahidi kuhusu ulegevu wao.

  • · Kuna katibu mkuu Fulani wa Tanzania Red Cross Society (TRCS) alikuwa anawania udiwani kata moja wanakaa wazito mjini Dar-es-sallam, kutokana na wadhifa wake huo kanuni za kimataifa za msalaba mwekundu kazikumrusu kugombea madaraka hayo ya kisiasa, ninasema kwa kumwogopa mungu tuliviarifu vyombo hivi mapema viingilie kati lakini havikufanya hivyo matokeo yake huyo katibu mkuu alipata madaraka hayo hatimae kuwa Meya wa jiji la DAR. Tuliviarifu kwa sababu Katibu mkuu huyo alikuwa anatumia rushwa sana kupata udiwani sasa anayehusika na kuzuia rushwa ni nani kama siyo vyombo hivyo? Tulivyofuatilia kwa karibu tukabaini kwamba Mwenyekiti wake katibu mkuu huyo ndiye aliyemwezesha kupata cheo hicho kwani kwa kutumia influence yake kwenye chama Fulani kinachotawala ndiye alikuwa anapenyeza mlungula kwa wahusika ile katibu mkuu huyo achaguliwe, na tunaambiwa mwenyekiti huyo eti ndiye katibu mkuu wa sasa wa chama Fulani ambacho ni tawala.
  • · Katibu mkuu huyo wa chama cha msalaba mwekundu Tanzania hakuishia hapo na sisi hatukuacha kumfuatilia akanogewa na madaraka ya kisiasa safari hii akawa anawania ubunge jimbo la Dodoma mjini kama kawaida yake akanza mapema kupenyeza mlungula wakisaidiana na mwenyekiti wake, safari hii na sisi tukabadirisha staili hatukuwatumia tena wakuu wa TAKUKURU NA DPP, tuliwatumia watu wengine wadogo tu ambao moja alikuwa mwenyekiti wa chama tawala hapo Dodoma na mwingine ni mzee maarufu msitaafu alikwa waziri wa mwanzo wakati tunajitawala na baadae kuwa balozi, tuliwaambia kwamba kwa kutumia uwezo wao wajitahidi katibu mkuu huyo asifanikiwe kuchukua ubunge kwa sababu anamwaga sana rushwa na pia anamuunga mkono kigogo Fulani ambae alilaaniwa na baba wa taifa kwa kutiliwa mashaka mapesa anayomiliki na vile vile anapiga jalamba kupata urais uchaguzi mkuu ujao. Amini usiamini wazee hao walifanikiwa kumkwamisha katibu mkuu huyo akaambulia patupu. Angalia watu wadogo tu wanafanikiwa kuguard public interest wakubwa na wenye uwezo wanashindwa (shame on them Hosea and Fareshi).
  • · Wanasema ukizoea kula nyama ya mtu kwa ajili ya chumvichumvi ile utaendelea kula tu hata ukikatazwa, katibu mkuu huyo wa chama cha msalaba mwekundu hakuishia hapo na rushwa zake na Zinadine Zidane wake akiwa ni yule Yule aliyekuwa mwyekiti wake wa TRCS miaka ya 2000 na sasa ni katibu mkuu wa chama Fulani ambacho nitawala. Safari hii alikuwa anatafuta madaraka ya ubunge wa afrika mashariki aliandaa mkakati Fulani wa kisayansi wa kuhonga wapiga kura ambao ni wabunge, mkakati huo tuliujua mapema tukakiarifu chombo husika (TAKUKURU ) pia tukaandika vipeperushi Fulani kuwarifu wabunge kuhusu mbinu hiyo ya kisayansi ya rushwa aliyobuni katibu mkuu huyo vipeperushi hivyo tukampa mtumishi wa ofisi ya bunge dada mmoja hivi awawekee wabunge kwenye pegion hole zao , si mtumishi wa bunge wala TAKUKURU waliochukua hatua matokeo yake katibu mkuu huyo wa chama cha msalaba mwekundu akapata ubunge tena kwa kishindo (unacheza na rushwa wewe ).
  • · Katibu mkuu huyo akawa anatafuta sasa uwenyekiti wa chama Fulani mkowani Dodoma katika eneo hili hatukufuatiliam kivile kwa sababu rushwa iliyotumika ilikuwa too general kama kusafirisha wajumbe kwenda Dodoma , kuwanunulia chakula na maji lakinni kila hudima iliyotolewa ilikuwa inatajwa nani katoa lakini walikuwa wanasema eti Fulani kajitolea, basi katibu mkuu huyo akafanikiwa kupata uwenyekiti huo wa mkoa japokuwa hizo rushwa zake zilimzuru sana mzee watu tuliyekuwa tunamtumia na yeye ndie eliyekuwa mwenyekiti kabla ya kuangushwa na katibu mkuu huyo, mzee kwa kweli alichanganyikiwa mpaka sasa akili haija kaa vizuri.
  • Rasimu ya katiba ikifaniwa kuwa katiba kamili mkoa wa Dodoma utakuwa jimbo la uchaguzi Katibu mkuu huyo kasha anza kujipanga kuchukua jimbo hilo kwenye serikali ya muungano, tanamarifu kuwa tumeisha fahamu hatuwatumii tena TAKUKURU wala DPP tumejipanga kivingine, aje tu na mbinu zake hizo za rushwa.

Tukirudi kwenye background info nilitaja rushwa inavyokosesha wahitaji na kuwapa walionacho mfano ni mashirika yanayojitolea fedha kuwapa watoto wanaoishi kwenye mazingara magumu, misaada hii badala ya kuwafikia walengwa ambao ni watoto huwa inaishia kwa watoto wa wenyewe wanaochukua dhamana ya kuwafikishia watoto husika. Sasa katibu Mkuu huyo aliwahi kupewa dhamana ya kuchagua baazi ya jumuia ya wakimbizi ili waweze kunufaika na msaada wa kwenda kusomeshwa huko leeds Uingereza mwaka 2001, msaada huu ulifujwa kweli na katibu mkuu huyo na mweyekiti wake matokeo walionufaika ni watoto wa kirangi na wasomali walengwa katika nafasi 25 walikwenda watano tu kwa bahati nzuri wahusika wengine bado wako Uingereza na wengine wamerudi ila wale wa Uingereza wako teyari kutoa ushahidi kwa sababu hawana cha kupoteza.
Kwa hiyo

CHADEMA ikichukua madaraka tunaomba iwafute kazi mala moja wakuu wa vyombo TAKUKURU na DPP kwa sababu ya kutokuwa na moyo au utashi wa kusaidia wengi ambao ni wahanga wa rushwa kubwa , hebu oneni wenyewe watanzania ambae baadae itakuwa Tanganyika:-
  1. 1. Ni watanzania wangapi wamekuwa wahanga wa rushwa katika shirika la UDA,watumishi wengi wamekosa kazi wanahangaika na familia zao, watoto wa shule wanakosa usafiri wa uhakika na nyumba na ardhi vimechukuliwa na wachache japokuwa walijikongoja kwa kujaribu kuwafikisha wahusika mahakamani lakina kesi eti imefutwa kwa nolle prescue. Sasa kuna haja ya CHADEMA kuendelea na watu hao?
  2. Angalieni wenyewe rushwa ilivyosababisha watu 35 wakapoteza maisha baada ya lile gorofa la kisutu kuanguka, wahusika walikuwa wanajidai wametoa rushwa ndio maana wakaongeza gorafa zingine 7 juu, na mhusika mwingine tunaambiwa alikuwa diwani.

Sasa mamlaka ziliamuru jengo kama hilo pembeni ya lile liloanguka livunjwe, amri hii tunaambiwa haijatekelezwa mpaka sasa kwa mantiki hiyo watu 35 wengine wako pending kupoteza maisha , offisi ya DPP inafursa ya kuingilia kati lakini wamenyamaza tu, nauliza tena CHADEMA Ikichukua inchi kuna haja ya kuendelea na watu hawa?

Ebaeban

Tel.Aviv.
 
Ajira hazitolewi kwa kufuata katiba za vyama vya siasa, bali katiba ya jammhuri ya muungano wa Tanzania.
 
Pamoja na katiba kuna qualification and job experience chamu himu ni experience yaani uwezo, kama kazi mtu ana uwezo nayo akifanya matokeo lazima yaonekane. Hao niliowataja katika utendaji wao no delivery the always endup with a flop, deliberately flop (kufeli kwa makusudi ambapo nyuma ya pazia kuna deal).
 
kweli aisee.....pia wafukuzwe kazi polisi wote......uwt wote.....waajiriwe wengine wapya....
 
Back
Top Bottom