TAKUKURU, kuna kesi moja yenye ushahidi CHADEMA

TAKUKURU, kuna kesi moja yenye ushahidi CHADEMA

Ziada Mwana

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
201
Reaction score
22
Dk Slaa alisema kuna ushahidi kwamba mmoja wa mgombea aliyeondolewa, alitoa rushwa kwa wapiga kura kutoka mikoani kwa kuwatumia fedha kwa njia ya M-pesa. Alisema chama hicho kimejipanga kuepuka vitendo vya ukiukaji wa maadili ikiwa ni pamoja na kutoa na kupokea rushwa.
(Mwananchi 29 May 2011)
 
Sasa si ni jukumu la takukuru kuwafuata chadema sio watafuniwe,,,kirefu cha takukuru ni taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa..sharti wazuie na kupambana
 
Tupambane vita ya rushwa kwa vitendo, welldone CDM
 
Takukuru hawawezi kuja bila kuitwa! Mpaka wasukumwe kwa maslahi ya ...!
 
ikitokea unafuga mbwa nyumbani kwako na vitu vinaibwa na wezi wanatoroka , baaadae mbwa ndo anaambiwa kuwa anatakiwa abweke na kunusa ili kujua wezi wamekimbilia wapi basi ujue huna mbwa mlinzi bali mbwa mnyama anayefugwa ndani kama pambo na ni kwa ajili ya kuwatisha wapita njia!
 
Hawawezi kwenda. Hao waliokuwa wanahonga ni vipandikizi wa vyombo vya dola, na pesa wanazipata huko huko, lengo ni kujipenyeza CDM
 
Takukuru hawawezi kuja bila kuitwa! Mpaka wasukumwe kwa maslahi ya ...!

Wakiitwa watafanya uchunguzi wao mwishoni utasikia wanamsafisha mtuhumiwa kisha wanajenga hoja kuwa alitimuliwa kimizengwe sababu ya dini\dhehebu auhapatani na mwenyekiti. Takukuru ni subsidiary ya magamba
 
Sasa si ni jukumu la takukuru kuwafuata chadema sio watafuniwe,,,kirefu cha takukuru ni taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa..sharti wazuie na kupambana

Ndio maana nimewashtua, unajua huenda walikuwa bize kwa kuwafuatilia Polisi wakajisahau huku kwingine.
 
alisema mgombea mmoja bavicha kaenguliwa baada ya kutoa rushwa kwa m pesa na kunaushahd, sasa kwanini hakuwaita takukuru kuwakabdh mtu wao? narudia kusema cdm haipo salama na inachokikumba ccm sasa,bora ya ccm wameshapata uzoefu,cdm ikifikwa itakufa tu
 
Mkuu napitia post zako naona una tatizo kubwa la kuandika.. sijui una haraka sana ya kuandika au ndio ulikimbia umande!!?? Kabla ya kupost jaribu kukaa na kusoma vizuri post zako ndio uweke maana unatupa hata ugumu kusoma..
 
haka kajamaa MCHANGE kalishinda ubunge KIBAHA ila ulifanyika ujambazi kama sio uchakachuaji,.kuna tetesi kuwa kajamaa kalipokeaga mlungula na kuliachia jimbo kwa muuza unga mmoja anaitwa koka,baada ya kusikia kaenguliwa kwenye kinyang'anyiro cha uenyekiti BAVICHA kwa kutoa rushwa,naaza kucinfrm my doubt,.haka kajamaa ni kadent pale UDOM,yani boom linatosha hadi kutoa rushwa...hili ni gamba
 
Una report alicho sema Dr.Slaa au unaandika chuki zako kwa Mchange?
 
acha uzabizabina ebu tueleze wewe na Slaa mulkutana wapi akakuamnia habari za mchange umeingia choo cha kike kamalizeni kwanza kujivua magamba ndio uje na uchuro wako sisi tunaendelea kujenga nchi yetu iliyowashinda ovyooooooooooo
 
Una report alicho sema Dr.Slaa au unaandika chuki zako kwa Mchange?
hata kama una mahaba na mchange lakini slaa ndio amesema jamaa alikuwa anatoa rushwa..kimsingi kwa kosa la kutoa rushwa anastahili kuandikiwa barua kama mapacha watatu..hana sifa ya kubaki cdm tena
 
Back
Top Bottom