Takribani watu 30 wamepoteza maisha na zaidi ya 200 kujeruhiwa baada ya skafoldi kuporomoka katika Kanisa la Menjar Shenkora Arerti Mariam, jimbo la Amhara kaskazini mwa Ethiopia. Tukio hilo lilitokea asubuhi wakati waumini walipokusanyika kusherehekea sikukuu ya kila mwaka ya Bikira Maria
Mashuhuda wanasema waumini wengi walipanda juu ya mbao za skafoldi ili kuangalia michoro ya dari ya kanisa hilo, kabla ya muundo huo kuanguka ghafla. “Tulikuwa wote tumekusanyika kwa maombi, ghafla skafoldi likaporomoka na watu wakaanza kuanguka kutoka juu ya dari,” alisema Mikias Mebratu, aliyepoteza marafiki zake watatu kwenye ajali hiyo
Kwa mujibu wa kliniki ya eneo hilo, Dkt. Seyoum Altaye, miongoni mwa waathirika wamo watoto na wazee. “Hadi sasa tumethibitisha vifo vya watu 25 na zaidi ya 100 wamejeruhiwa,” alisema, akibainisha kuwa hospitali inahitaji msaada wa Shirika la Msalaba Mwekundu kuwahudumia majeruhi
Mkuu wa utawala wa eneo hilo, Teshale Tilahun, ameonya kuwa idadi ya vifo huenda ikaongezeka kwa kuwa baadhi ya watu bado wamenaswa chini ya vifusi. Operesheni za uokoaji zinaendelea huku majeruhi wakipelekwa katika hospitali jijini Addis Ababa kwa matibabu zaidi
Kupitia taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari vya serikali, serikali ya Ethiopia imetoa salamu za rambirambi kwa familia zilizopoteza wapendwa wao na jamii nzima. “Usalama unapaswa kupewa kipaumbele katika miradi ya ujenzi,” taarifa hiyo ilisema
=========
At least 30 people have died and more than 200 were injured when scaffolding collapsed at a church in Ethiopia
The accident happened in the morning at Menjar Shenkora Arerti Mariam Church in Amhara, northern Ethiopia, as worshippers gathered for an annual event celebrating St. Mary.
Many worshippers had climbed up the wooden scaffolding to see a ceiling mural when the support structure collapsed, according to witnesses
“We all had gathered in prayers when all of a sudden the scaffolding collapsed and people starting falling from the ceiling,” witness Mikias Mebratu, who lost three of his friends, said at the scene.
Seyoum Altaye, a clinician with a local hospital, said the victims include children and elderly people. “So far we have confirmed 25 dead and over a hundred injured,” he said.
He said the hospital is seeking help from the Red Cross to care for the injured.
Teshale Tilahun, the local administrator, warned that the death toll could potentially rise. “It is a tragic loss for the community,” he said
Some people are still trapped under the rubble and rescue operations are underway
Injured victims have been taken to the capital Addis Ababa for treatment
In a statement shared by state media, the government expressed "deep condolences for the damage caused by the collapse of the scaffolding.” It added that "safety must be given priority" during construction projects
Source: African news