Aisee!!! Huku kwetu chapati 1 ni 300 au chapati 2 ni 500!! Sa sijui hizo chapati za Buku zinakua vipi?!? Au mnaziwekea na Bluetooth?!?Ndio robot
Tatizo sio kufananisha !!!tatizo ni uwezo wa walaji mkuuUnafananisha chapati ya mashine na ya mkono mkuu