Tajirika sasa, fursachiyo hapo.. Mambo ni rahisi zaidi ya app ya DENT.

Avatar

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
11,127
11,908
Hii nimekutana nayo mjini twita, nikaona sio mbaya kuwashirikisha wakuu juu ya fursa za biashara.

Nadhani mchanganuo imejikamilisha hapo

180k / siku ( x30) lazima uongeze mapato ya nchi.

Kila la kheri.
IMG_20190716_054016.JPG
 
Hizo chapat za buku kauze osterbay

Huku kwa mtogole chapat mia mbili bei ya juu sana 250 !
 
Haya sawa ngoja tuone

Watu mnachukulia mambo poa sana

Ila sikukatishi tamaa mkuu

Ingaawa mi ni mteja wa hizo chapati za buku

Ila watu wengi wa hali ya chini hawawezi
 
Izo hesabu za kwenye makaratasi ingia filled chapati buku labuda masaki sio kwetu huku chapati sh mia acheni masihala kabisa.
 
Back
Top Bottom