Tajirika na Ngabu

Ni inbox jina lako kamili na la mama yako mzazi, ila nikipiga kitu ujue hakichomoki hadi hivyo vijisenti viingie kwa account!!
gfsonwin tayari alisha kuja na hiyo gia. Nikampa kila kitu. Miezi kadhaa sasa ishapita and I'm still kicking ass.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu umenikumbusha stori za Shinyanga. Kuna sehemu maarufu Shinyanga kwa hii makitu kiasi cha kuogopeka. Panajulikana kama Gambosh. Inasadikika Gambosh ipo Bariadi. Hebu tujuze ukweli wa mambo juu ya Gambosh: Ni kweli kuna kijiji kinajulikana kama Gambosh kule Bariadi? Inasemekana mchana Gambosh haionekani ila usiku ni mji kubwa wenye umeme bila nyaya wala nguzo za Tanesco wala solar power. Kuna ukweli juu ya jambo hili? Inasemekana mchana hakuna hata njia ya miguu inayoenda Gambosh lakini usiku magari ya abiria (misukule) yanapishana barabarani kuelekea Gambosh. Ni kweli?

Mh. Andew Chenge (Mb. Bariadi) kama ni member wa JF anaweza akatujuza zaida juu ya Gambosh na maruweruwe yake. Mh. Chenge msaada tafadhali.

cc:
Chenge

 
Ngabu anataka promo?
Hapo totoz ndio zitatajirika ila mwishowe itakuwa kifo Kapuya style.
 

huyu kesharogwa!!

amepata ka-akili kadogo tu ka kuposti uzi ili tutambue hali yake!!

chezea mume mwenza wewe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…