Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 8,676
- 19,204
Trump katuonyesha ujinga wa EU walivyo mazuzu...Imegundulika wazungu wenye akili ni wachache sana ,wengi vilaza tu.
Hata Sasa hivi bado tunajiuliza hivi waliwezaje kututawala?
Trump katuonyesha ujinga wa EU walivyo mazuzu...Imegundulika wazungu wenye akili ni wachache sana ,wengi vilaza tu.
Hata Sasa hivi bado tunajiuliza hivi waliwezaje kututawala?
Aimarishe kitengo cha ujasusi.. taarifa nyingi za kijasusi anapewa na Russia 🪆Wanamtafutia timing,na lazima watapindua gari kwa kutumia ngozi nyeusi yenye tamaa ya madaraka