Kijana ushe2
Senior Member
- Apr 6, 2017
- 176
- 122
Naomba umweke mwalimu yeyote ambae ni mtambo wa physics kwa Tanzania yetu. Mimi naanza na;
1. MATHIUS MGONYA (Physics) huyu jamaa ni shida peleka swali kwake hautaamini huyu mwamba mbona hatari.
Anapenda kuwasaidia wanafunzi wanaopeleka maswali kwake! Pepa hilo nalo hatari. Huyu ni nambari za juu kwa physics. Mtambo wenye masters degree kwa sasa.