Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,160
- 866,402
Je ni mapema sana kupost hizi mambo ama tusubiri usiku?
Nadhani muda huu ndio sahihi kwakuwa shughuli nyingi hufanyika nuruni.. Kuna watu muda huu wako mochwari na majonzi tele.. Tuwaombee sana!
Ukweli wa kutisha zaidi kuhusu kazi za mochwari ni kwamba miili ya marehemu mara nyingi hutoa sauti za ajabu na za kushtusha
ikiwemo miguno na mkoromo wa chini chini, wakati gesi haramu na majimaji ya mwili yanapotoka kwenye mapafu na kupita kwenye kamba za sauti,
kana kwamba maiti inajaribu kunong'ona siri za kuzimu kabla haijatulia.
Nyuma ya milango iliyofungwa ya chumba cha kuandaa miili...

- Mshana Jr
- dunia giza mochwari nyuma
- Replies: 108
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko