taja sifa za hawa....

taja sifa za hawa....

kabanga

Platinum Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,649
Reaction score
19,042
1.png
 
Hebu waacheni wapumzike usiku huu jamani.
 
hawa jamaa wamezidi, leteni tindikali tuwasafishe tabia zao.
 


Ni baadhi ya idadi kubwa ya wabunge wa CCM ambao ni mafuska na wabakaji. Wakati wa ujana wao walikuwa hawajirushi na wapenzi kwa sababu ya kula buku ili wawe na uhakika wa maisha mazuri huko mbeleni. Sasa yale waliyokuwa wana miss wakati ule ndiyo wanaanza kushupalia sasa wakati kiuhalali ilibidi ndiyo wapumzike waangalie ya baadaye. Mapenzi waliyokuwa nayo hawa vikongwe ni yale ya vijana wa miaka 16 kung'ang'ania mapenzi pasipo na penzi matokeo yake mpaka wanafikia kubaka vijukuu vyao na kuwaambukiza Russians (virusi). Huyo wa kulia anajit.ombea anything and anybody and anywhere at any time, yaani hachaguwi kwani kadhamilia kulipizia miaka aliyopoteza wakati akiwa mwanafunzi. Wa kushoto ana vitu vya chini chini ila hapa sitaki kusema kwani ana uwezo wa kunitafuta kwa ndumba ili nimuoe nami sitaki acha mke wangu kipenzi. In short, anapenda vijana wenye nguvu za kiume si vikongwe wenzake wanaokula viagra.
 
Professor Juma Kapuya
-Was a Professor of Botany at the university of Dar es salaam.
UDS ( Bsc), (Msc), Aberystwyth university (Phd)

-MP for Urambo west
-age 68
 
Professor Juma Kapuya
-Was a Professor of Botany at the university of Dar es salaam.
UDS ( Bsc), (Msc), Aberystwyth university (Phd)

-MP for Urambo west
-age 68
bado sifa muhimu kaka mkubwa....
 
washamba wa mapenzi.
Nalog off
Mr. Nalog off,kama Mh. Kapu akija kuoa kwenye ukoo wenu (samahani kama ntakuwa nimekukwaza,ni utani tu kaka) utakataa ama unakubali?

"Nlikuwepo":bolt:
 
Mr. Nalog off,kama Mh. Kapu akija kuoa kwenye ukoo wenu (samahani kama ntakuwa nimekukwaza,ni utani tu kaka) utakataa ama unakubali?

"Nlikuwepo":bolt:

kabla posa haijajibiwa nitatafuta safari ya kwenda nje ya nchi.
Nalog off
 
Hahahaaaaa angalia msije kutana maana na yeye yupo nje...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom