Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,598
- 65,049
Sifa kuu za mtu anayeitwa "hamnazo"
- Mtu anayekuwa mzito wa kuelewa
- Mtu mwenye tabia za kitoto au kijinga
- Mtu asiye na umakini
- Mtu bwege au zuzu
- Mtu anayetaja taja majina ya watu kwenye nyuzi
- Mtu anayejipendekeza pendekeza ili aonekane wa maana kuliko wengine.
- Mtu anayefuatilia maisha ya watu kuliko ya kwake
- Mtu anayetukana tukana hovyo
Je, wewe una sifa hizo, na hapa jukwaani ni wangapi wenye sifa hizo?