Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,780
- 13,699
Ilala hapa mtaa pangani na Arusha.
Njia hiyo nimefika hadi Chiungutwa tu.mi siko mjini huko mkuu, niko vijiji vya mkato vya kwenda Lulindi, Njia ya kuja Newala
Hewaaaaaa sasa kabla ya hapo nyumba njia panda ya Lupaso ndo kuna njia ya kuja huku ila unapita vijiji kama vi3 -4Njia hiyo nimefika hadi Chiungutwa tu.
Eh ndo nyumbani hukoHewaaaaaa sasa kabla ya hapo nyumba njia panda ya Lupaso ndo kuna njia ya kuja huku ila unapita vijiji kama vi3 -4