Taja ma-MC uchwara Dar es salaam

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,603
32,289
Natumaini kwa namna moja au nyingine utakuwa umehudhuria sherehe/hafla katika jiji la Dar es Salaam, je ni ma-MC gani uchwara uliowahi kukutana nao shereheni na wakafanya sherehe kuwa mbaya kutokana na kuboa watu?

1. MC PILIPILI a.k.a ZAKAYO - hiki kijamaa kinalazimisha u-MC lakini hawezi huyu labda aende kwenye kupiga ngoma za kienyeji huko kwao DODOMA.
 
Mc. Pilipili nadhani anachipukia vizuri
Tujifunze kutia vipaji vyetu moyo
 
Nakubaliana nawe 100% kwamba Mc pilipili hafai ila ni miongoni mwa maMC wachache hapa nchini wanaolipwa ghali. Naweza mfananisha na mchezaji asiye na mbwembwe ila magoli anafunga mengi.
 
mc mahuki yaani kubana pua si kubana pua basi vuruu tu uzungu mwingiiiiiiiii
 
Kweli kila mtu na mtazamo wake, wakati wewe unamuona uchwara, wengine huponstipond mpaka shughuli zao kisa tuu, that date mc pilipili yupo booked, yupo radhi asubirishe shughuli yake hata mwezi ili tu ampate mc pilipili, na ndio mc anayekinga mpunga mrefu kuliko wale wewe labda unawakubali.
 
Aaagh! Mtu anataja ma mc anafika mahala anaacha kutaja ma mc mahiri na wa muda mrefu kama MC MPIRI,MC POGWA aka MC BONGE, MC Mwambeleko,MC Helen, mc JUAKALI, MC Fikirini, mc Richi richi, MC Rumba, Mc Marry, na baadhi wakongwe hautakuwa umetenda haki kama hukuwataja hawa japo sijawaona muda kidogo.
 
natumain kwa namna moja au nyingine utakuwa umehudhuria sherehe/hafla katika jiji la Dar es Salaam, je ni ma-MC gani uchwara uliowahi kukutana nao shereheni na wakafanya sherehe kuwa mbaya kutokana na kuboa watu?
1. MC PILIPILI a.k.a ZAKAYO - hiki kijamaa kinalazimisha u-MC lakini hawezi huyu labda aende kwenye kupiga ngoma za kienyeji huko kwao DODOMA.

sijajua kama una kisa nae au vipi, au labda siku hizi uwezo umepungua (unajua tena maskini akipata)

ila kwa jinsi navyomjua huyu jamaa ni balaa, kuna kipindi tuliwahi kuwa na sherehe ya harusi na alikua MC na tulifanyia kwenye hotel moja hv inamilikiwa na wahindi, yaani mpaka wahindi wakawa wasimama madirishani kuangalia maana ilikua ni balaa.. ukumbi wote ulikua ni kelele mpaka maharusi kwa kucheka.

labda siku hizi hana upako au sijui kama bado ameokoka maana by then alikua mlokole mzuri tu
 
Dah,
Nilijua ni Mkenya
 
Back
Top Bottom