Amina68 JF-Expert Member Jul 16, 2021 298 545 Jun 15, 2023 #1 Taja kauli mojaya kibabe Sana, ambayo haikosekani kwenye daladala Mie nilikutana na moja, "We dada nipe ya nyuma yako." Hahahhahahahaha
Taja kauli mojaya kibabe Sana, ambayo haikosekani kwenye daladala Mie nilikutana na moja, "We dada nipe ya nyuma yako." Hahahhahahahaha
Mad Max JF-Expert Member Oct 21, 2010 19,606 51,737 Jun 15, 2023 #2 Amina68 said: Taja kauli mojaya kibabe Sana,ambayo haikosekani kwenye daladala Mie nilikutana na moja, "We dada nipe ya nyuma yako." Hahahhahahahaha Click to expand... We jomba penyeza apo kati.
Amina68 said: Taja kauli mojaya kibabe Sana,ambayo haikosekani kwenye daladala Mie nilikutana na moja, "We dada nipe ya nyuma yako." Hahahhahahahaha Click to expand... We jomba penyeza apo kati.
Urban Edmund JF-Expert Member Mar 20, 2018 1,968 2,461 Jun 15, 2023 #6 we kaka mbona mtata nimekwambia subiri nitakupa
CAPO DELGADO JF-Expert Member Aug 31, 2020 7,617 16,711 Jun 15, 2023 #7 Dada Amina. Daladala zinatweza UTU wa mtu. Jikwamue Kiuchumi uache kupanda Daladala. Tafuta Usafiri wako. Maneno ya kwenye Daladala si ya kuyaleta hapa kwa Great thinkers. Kuna watu wametoka kimaisha through JF. Ningetamani ulete hata Nukuu za VITABU vilivyojaa MAARIFA. FICHA UJINGA.
Dada Amina. Daladala zinatweza UTU wa mtu. Jikwamue Kiuchumi uache kupanda Daladala. Tafuta Usafiri wako. Maneno ya kwenye Daladala si ya kuyaleta hapa kwa Great thinkers. Kuna watu wametoka kimaisha through JF. Ningetamani ulete hata Nukuu za VITABU vilivyojaa MAARIFA. FICHA UJINGA.
Mwl.RCT JF-Expert Member Jul 23, 2013 13,620 18,705 Jun 15, 2023 #8 CAPO DELGADO said: Ningetamani ulete hata Nukuu za VITABU vilivyojaa MAARIFA. Click to expand... Tuanzie hapa. Weka nukuu yako moja, kama mfano kuonyesha kile ambacho wamaanisha. Mie yangu hii hapa: "Mabadiliko makubwa katika maisha yetu yanaweza kuanza kwa hatua ndogo tu." - Melody Beattie, The Language of Letting Go. "Kile tunachoamini kwa ndani, ndicho tunachovutia kwa nje." - Stephen R. Covey, The 7 Habits of Highly Effective People.
CAPO DELGADO said: Ningetamani ulete hata Nukuu za VITABU vilivyojaa MAARIFA. Click to expand... Tuanzie hapa. Weka nukuu yako moja, kama mfano kuonyesha kile ambacho wamaanisha. Mie yangu hii hapa: "Mabadiliko makubwa katika maisha yetu yanaweza kuanza kwa hatua ndogo tu." - Melody Beattie, The Language of Letting Go. "Kile tunachoamini kwa ndani, ndicho tunachovutia kwa nje." - Stephen R. Covey, The 7 Habits of Highly Effective People.
Gumilapua JF-Expert Member Sep 13, 2011 833 565 Jun 18, 2023 #9 Amina68 said: Taja kauli mojaya kibabe Sana, ambayo haikosekani kwenye daladala Mie nilikutana na moja, "We dada nipe ya nyuma yako." Hahahhahahahaha Click to expand... Subiri nauli yako utapewa, pesa imekaa vibaya!
Amina68 said: Taja kauli mojaya kibabe Sana, ambayo haikosekani kwenye daladala Mie nilikutana na moja, "We dada nipe ya nyuma yako." Hahahhahahahaha Click to expand... Subiri nauli yako utapewa, pesa imekaa vibaya!
Dexta JF-Expert Member Jan 4, 2015 1,761 4,158 Jun 29, 2023 #10 Kuna konda nilimskia anamuambia abiria aliesimama mlangoni eti aingize roho ndani.🤣
The Boss JF-Expert Member Aug 18, 2009 49,117 115,945 Jun 29, 2023 #11 Unakaribia makaburini...konda anasema "mwisho wa nyodo" ..anaeshuka sogea mlangoni