Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 3,187
- 12,335
Miaka hio tunaenda kuosha mbwa dip
Kabla ya hapo zinapiganishwa kwanza, old good life
Miaka hio tunaenda kuosha mbwa dip
Sasa wewe hujawahi sikia mbwa wanamwita jina la simba??Kwani simba nao ni mambwa au mimi ndo sijaelewa
Fox
Hao sio mbwa mahiri
Mbwa gani hao wanafuata watu Miku*duni? Mbwa mahiri wanapaswa kutangulia mbele na kutawanyika kulia na kushoto kuwinda au kutafuta kinachohitajika