Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

Wanajamvi natumai nyote ni wazima wa Afya.

Ningependa tujumuike katika Uzi huu, kutaja ni Sinema ipi ambayo umeshaiona zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka.

Mimi binafsi movie ambayo huwa hainichoshi kuiangalia ni BLOOD DIAMOND Solomon Vandy
Noretit no surender
 
Undercover

Napenda zile mbanga za madawa ya kulevya,rushwa,visasi na mengine mengi.

Safari nane za baridi huku unaicheki movie kiburudaaani kabisa
 
Wanajamvi natumai nyote ni wazima wa Afya.

Ningependa tujumuike katika Uzi huu, kutaja ni Sinema ipi ambayo umeshaiona zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka.

Mimi binafsi movie ambayo huwa hainichoshi kuiangalia ni BLOOD DIAMOND Solomon Vandy
Bridal mask(korean series), 3 idiots, Aashqui
 
Back
Top Bottom