Inaonekana hatari sana..nimechek trailer imenivutia..na ww tafuta love lies bleeding..ya 2008 ila utaipenda nna uhakika.Tafuta kitu kinaitwa Atomic blonde
Haya ukimaliza hyo katafute The Bourne Ultimatum na The Man from UncleInaonekana hatari sana..nimechek trailer imenivutia..na ww tafuta love lies bleeding..ya 2008 ila utaipenda nna uhakika.
November man,hiyo the man from uncle nilipenda ile scene mrembo alivyomforce jamaa wachezeHaya ukimaliza hyo katafute The Bourne Ultimatum na The Man from Uncle
Pretty womenWanajamvi na tumai nyote ni wazima wa Afya.Ningependa tujumuike ktk Uzi huu,kutaja ni cinema ipi ambayo umeshaiona zaidi ya mara 5 lkn bado hujaichoka.
Mimi binafsi movie ambayo huwa hainichoshi kuiangalia ni
BLOOD DIAMOND
Solomon Vandy
November man nishaionaNovember man,hiyo the man from uncle nilipenda ile scene mrembo alivyomforce jamaa wacheze
American assassin 2017November man nishaiona
Hiyo nilipenda Ile scene ya Nuclear bomb, jinsi Ile aircraft carrier ilivyokua inasukumwa kama kamtumbwiAmerican assassin 2017
Kiss of the dragon na nyingine nyingi za jet li huwa ni nzuri sana haswa akikutana na kajamaa fulani hivi kenyewe kanachukuaga uhusika wa adui mkuu (jambazi sugu)Kissing the dragon(Jet Li)