Taja jina la movie ulioitazama zaidi ya mara 5 lakini bado hujaichoka

Muvi za X, huwa sizichoki tena naangalia bila sauti hata nirudie mara mia muvi moja, bado siichoki.
 
Duhhh,,
Mkuu hii movie ya longtime saaaana pia ni nzuri saaana
Sijui kwanini hawakutoa part2 yake kutokana na mwisho wake hio movie ilivoisha ilionekana dhahir kuwa itakuja part 2 yake

Mukuu haiwezi kuja part 2 maana mchezo uliisha na wauaji wote waliuwawa sijui itaendeleaje
 
Back
Top Bottom