Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,416
- 6,578
- Thread starter
- #21
Ha ha ha haaah Babaubaya umenikumbusha kijiji kimoja huku kwetu alienda mchungaji kuhubiri injili, gari yake ilikuwa imechorwa msalaba kwa rangi nyekundu, alijikuta yuko peke yake wenyeji wamekimbilia mashambani.
we unafikiri kuna mtu anapenda kufa kizembe??
Last edited by a moderator: