Maeneo ya vijijini ukiona gari jekundu ni wanyonya damu!
Ilinitokea live nilipokwenda kumsalimia babu, hiyo siku tulikwenda kusanya kuni habla hatujaingia porini gari lenye rangi nyekundu likawa linakuja kwa mbele yetu, wale ndugu zangu walikimbia wote porini huku wakiambia kwa kilugha "bee mkwamisi kimbile avanyonya damu ivo vakusa na mtuka si wiona ilangi dung'u iyoo!"
mfano enzi hizo kila mtu mwenye panki tulijua ni polisi.
Ha ha ha haaah Babaubaya umenikumbusha kijiji kimoja huku kwetu alienda mchungaji kuhubiri injili, gari yake ilikuwa imechorwa msalaba kwa rangi nyekundu, alijikuta yuko peke yake wenyeji wamekimbilia mashambani.