Taja jambo lolote lililotamba enzi hizo na unahisi vijana wa leo hawajashuhudia zaid ya kusikia tu!

> Mashati ya ndege au Juliana!
> Raba mtoni
> Kufuga nywele tukiita Afro
> 1979 wajeda wanatoka Uganda mashati ya slimfit na miwani za tinted, saa Mortima, suruali ya kitambaa kabardin.
 
Enzi hizo nyumbani pakipikwa wali hata na maharagwe basi wote mnawahi home halafu mnajifanya eti mnajisomea kwa bidii kweli.
 
> Mashati ya ndege au Juliana!
> Raba mtoni
> Kufuga nywele tukiita Afro
> 1979 wajeda wanatoka Uganda mashati ya slimfit na miwani za tinted, saa Mortima, suruali ya kitambaa kabardin.

vp mashati ya bahama??
 
Kumkuta Mwanamke wa miaka 35 akiwa hamjui mwanaume(Bikra).....hili siku hizi wanalisikia tu
 
Umenikumbusha mbali mkuu. Ukipanda mabasi hayo lazima upandie mlango wa nyuma kisha unakutana na konda na kimashine chake cha kukatia tiketi then unateremkia thr mlango wa mbele.

Mambo yalikuwa ni makubwa saana enzi hizo.
Unakumbuka mabasi aina ya Ikarus (aka Ikarus 'kumba-kumba')

Ikarus.jpg
 
mfano enzi hizo kila mtu mwenye panki tulijua ni polisi.

Enzi hizo maisha yalikuwa bora sana.
1. Elimu ilikuwa ni bure toka darasa la kwanza mpaka chuo kikuu (serikali inalipia).
2. Matibabu yalikuwa ni bure kwa kila mtu, hata ukihitajika kupelekwa ulaya serikali inalipia kila kitu (na huduma zilikuwa safi sana, madaktari walikuwepo, na madawa yalikuwepo, pia wauguzi wote walikuwa wanafuata maadili ya kazi zao).
 
Back
Top Bottom