Taja huduma za mitandao ya simu ambazo ni zisizo na makato

Taja huduma za mitandao ya simu ambazo ni zisizo na makato

Tuo Tuo

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
837
Reaction score
1,381
Mi ninazo zijua
1.Kununua muda wa maongezi au kumnunulia mtu kutoka mpesa/airtel money
-Hapa hutakatwa hata mia kama gharama ya huduma

2.Luku
Hapa napo ilikua n bure saizi naona kuna percent fulan wanakata ukinunua umeme zaman haikuepo
 
Back
Top Bottom