taja elimu yako........

mkuu Bishanga nadhani umesahau, mdogo wako nasumbuka na masters yangu hapa london school of economics.thesis inaniumiza kichwa coz nilichagua problem kuhusu ppt tax in dsm so wabongo wanazingua kunipa data but nitagraduate 2 inshallah
tatizo unaishi mbali na chuo,hamia basi kwenye apartment yangu hapo Hammersmith.
 
Last edited by a moderator:
Hapo bishanga simo,we subiri ban,name calling.
 
Last edited by a moderator:
Nilivyujua tu kusoma na kuandika nilipewa mtaji....Nilipewa sinia la karanga za kukaanga na elfu moja nikaachwa Arusha mjini baada ya kutoka kibosho....sasa hivi ninamaduka ya nguo kariakoo na Arusha mjina..halafu pia huwa naenda china kufuata mzigo..
 
Nina Bachela ya Uongo..
Nina Bachela Digrii ya Ubandidu..
Nina PHD ya Kupiga Debe..
Nina Mastaz ya Ujanja ujanja..
Nina Setifiketi ya kilimo cha Bha**e..
Nina CPA ya Kuhesabu hela..
Nina Mastaz ofu Dentisti ya kutoa mimba..

Na kazalika.............................................
 
una na mastaz ya udaku wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…