Taifa stars VS Malawi Leo 7/10/2017

McFerson

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
2,120
2,167
Wasalaam

Kama kawaida tunafahamu humu jf kuna watu wanakuwa na access ya kuangalia mechi mubashara au kupitia tv.

Naomba utupie lolote unaloliona kiwanjani ili na sisi tusiokuwa karibu na media nyingine au kiwanjani tuburudike.
Asante
 
Kwa hiyo red kadi ngapi , mbona sielewi... Mwakyembe amesajiliwa stars?
 
Back
Top Bottom