kama mlishindwa kupambana na Lesotho ndo mjidanganye kupambana na Uganda? labda Amunike afe
Yani wamenaza kupewa matumaini na baba yangu nikiwa mdogo mpka sasa nimekua mtu mzima nimepata watoto nawapa matumaini pia au haya matumaini hayawafai Stars tuwape matumabandama au matumapafu ndyo washinde?kila siku ni mwendo wa kujipa matumaini.
tutafungwa hapa hapa...... kumbuka ile ya maximo pale taifa mechi na msumbiji
hahahaaaaaaa balaa mkuuWatanzania itafika muda hata Mungu asituelewe mwanzo tulikuwa tunaomba Cape Verde afungwe asahivi tunaomba ashinde....Tunamchanganya hata Mungu
Mnaanzaje kuishinda Uganda?
Sio leo wala Kesho.Kama ifuatavyo...............................................................................................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Sio leo wala Kesho.
Hiyo haitakuja kutokea maybe in your dreams!
si wanasema eti mwaka 80 tz iliishiriki AFCON sasa tangu hapo gundu gani lilitokea? mi ndio maan mara nyingi napenda kufatilia mpira wa ulaya huku tz tunachoshanaYani wamenaza kupewa matumaini na baba yangu nikiwa mdogo mpka sasa nimekua mtu mzima nimepata watoto nawapa matumaini pia au haya matumaini hayawafai Stars tuwape matumabandama au matumapafu ndyo washinde?
Yani wanatupa hasira za kutuzeesha tu.si wanasema eti mwaka 80 tz iliishiriki AFCON sasa tangu hapo gundu gani lilitokea? mi ndio maan mara nyingi napenda kufatilia mpira wa ulaya huku tz tunachoshana
Taifa stars watapita moja kwa moja kwa points!!! Lkn akishinda Lesotho watafanana point na Taifa ikishinda kwa Uganda.Hapo wataangalia head to head na sio magoli kwa hiyo Lesotho watapita moja kwa mojaVerde akishinda na taifa ikashinda wataangalia magoli