Taifa stars leo tunashinda na kusonga

I wish tungekuwa na wachezaji wanaojituma uwanjani, na pia wapambanaji kama Ibrahim Bacca, Simon Msuva, Kibu Dennis na yule dogo Morrice Abraham.

Bahati mbaya ndiyo hivyo tena. 🙁
 
Tanzania mpira mdogo na kushinda wanategemea zaidi miujiza kuliko ufundi. Mpira wa Tanzania unaharibiwa zaidi na siasa pamoja na mipango mibovu.

Ccm pamoja na mwenyekiti wao wanatumia mpira kama jukwaa la kujitafutia umaarufu ambao hawana tena hivyo inafaa Tanzania ifungwe na kuondolewa mashindanoni ili wanaotumia mpira kujitafutia umaarufu waondoke kwa aibu.
 
Back
Top Bottom