Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,283
- 2,043
Hakika Ni ukweli usiopingika kuwa Wizara inapaswa KUWAOMBA RADHI watanzania kwa Matokeo ya AIBU ya TAIFA STARS kufungwa BAO 3-0 na MOROCCO Leo.Watanzania walijitoa kwa hali na Mali na Kuchangia BIL.3.7 kwa ajili ya TAIFA STARS.
SERA mbovu za WIZARA ya MICHEZO kumeifanya TAIFA STARS isiwekwe KAMBINI japo kwa Miezi 2 ili kujiandaa na haya MASHINDANO Makubwa na Magumu kwani TIMU SHIRIKI zina Wachezaji Wakubwa na zimejiandaa vizuri kuliko TAIFA STARS.
Huwezi kuleta SIASA kwenye MICHEZO ukatarajia USHINDE badala ya kuiandaa na KUIWEKA TIMU Kambini na kuipa MICHEZO mingi ya Kujipima Uwezo na Nchi zilizofanikiwa kimpira.
Leo unaipa TAIFA STARS mechi 2 za Majaribio na kambini imekaa wiki 2 halafu utarajie Kupata USHINDI hizo ni NDOTO. Leo tumevuna tulichokitaka.
Bado CONGO na ZAMBIA Tusubiri.
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app