Taifa Stars kufungwa kwa Mchina! Mashabiki wa Lesotho na Uganda tujuane mapemaa

U
Toka lini maombi yakasaidia timu kushinda mpira?

Kama ni maombi basi tulitakiwa kushinda mechi kati yetu na Lesotho maana hata kwa wingi tuko wengi, zaidi ya milioni 58 na Lesotho wako milion 2 tu maana maombi yetu yangekua mengi kuliko wao.

Uganda anaondoka na ushindi mnono tu hapa na Lesotho wanashinda dhidi ya Cape Verde.

Cuf pia imulike mechi kati yetu na Uganda tusije kua tumepanga matokeo Uganda watufanyie fair ikitokea tukashinda.
GANDA ASHINDI MKUU MASHEMEJI ZNAGU ILA LEOO AWATOKI KWAMCHINA TAKE MA WORDS SHIDA KUBWA IKO CAPEVD HUKOO LESOTHO ANAWEZA FANYA MIUJIZA MKAISHIA KUTAPIKA ZILE BIA
 
SIKUWANAJUA
HILI LESOTHO AKISHINDA ATUENDI POPOTE


NAFIKIRIA MAOMBI MAKUBWA YAPELEKWE KWA LESOTHO KUFUNGWA KAMA WATASHINDA

HATA HIZI BIA ZA BEI NAFUU LEOO ZITAGEUKA MTORI HUKO TUMBONI

TUJIKITE KUIOMBEA MABAYÀ ZAIDI LESOTHO
 
Nimeomba tupendekeze sehemu ya kukakaa ili niwapatie bendera na tutoe hamasa ya kutosha. Hapa nataka kuwaonyesha waonaojiita watawala wa kulazimisha uzalendo. Wakae wakijua kuwa uzakendo unaletwa na matendo yao na wala siyo lazima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu kama nyie mnapaswa mfungwe jiwe kubwa shingoni kisha mtupwe baharini..hamna faida yeyote kama mnaendekeza usaliti kwa timu yetu ya taifa stars..au mlitak kwenye jezi kuchorwe mbalamwezi na nyota juu?

Hili ni taifa la kikristo ..kma hamtaki ondokeni mkaanzishe taifa lenu uko..

Sent using Jamii Forums mobile app

Bro sasa Ukristo umeingiaje hapa?
Kwani Uganda na Lesotho ni Waislam?

Kwahiyo kila asiyeitakia ushindi Taifa Stars ni Mpinga Ukristo?

Yani hapo umepotea Kabisa Coz toka alipowasili Amunike Nchini kama Kocha Mimi niliachana na Kigenge hichi cha Amunike ambacho sasa ni cha Bashite na Wema.

Mimi Nikiwa Kama Mshabiki Wa Simba Kindakindaki siwezi kuwa pamoja na Kigenge hichi cha Amunike hata Siku moja.
 
Kwa waleo ambao hatupo tayari kuishangilia taifa stars tukutane hapa. Eleza sababu kwanini hutaishangilia Stars na badala yake utaishangilia the Cranes!

Mm binafsi sitaishangilia stars na badala yake nitaishangilia the cranes kwasababu zifuatazo.

1. Ushindi wa stars utaleta madhara mengi namakubwa kwa jamii kufuatia kufungwa kwa mitaaa na pombe kuuuzwa nusu bei hivyo kuwa na matukio mengi mabaya.

2. Mchezo huu kuhusisha wanasiasa

3.kuepuka aibu ya kuvuta mkia tukienda afcon.

Karibu ueleze sababu zako

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli tungeweza kushinda lakini hizo ahadi za kufunga mitaa kisa watu wale Pombe nahisi mungu anaweza kutuadhibu.
Pia siasa imeingia maana kuna kiongozi mmoja Alisikika Akisema Simba kashinda ni wao wamehusika ilihali hatukuwaona kwenye maandalizi ya Simba, hivyo tukifuzu AFCON basi ndo itakuwa silaha ya kupata kura 2020
Kila la kheri stars ila tusiende AFCON

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MMH. KWA HILI NASIMAMA NA TAIFA LANGUView attachment 1051947

KILA LA KHERI TAIFA STARS.
Nakukumbusha tu
FB_IMG_1553418359123.jpeg


Sent using unknown device
 
Back
Top Bottom