Taifa Stars kufungwa kwa Mchina! Mashabiki wa Lesotho na Uganda tujuane mapemaa

Kila la Kheri Timu Yangu ya Uganda
Uganda piga Team Amunike goli za kutosha tu
Natumai Okwi hutoniangusha
Watu kama nyie mnapaswa mfungwe jiwe kubwa shingoni kisha mtupwe baharini..hamna faida yeyote kama mnaendekeza usaliti kwa timu yetu ya taifa stars..au mlitak kwenye jezi kuchorwe mbalamwezi na nyota juu?

Hili ni taifa la kikristo ..kma hamtaki ondokeni mkaanzishe taifa lenu uko..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1) WINGI WA WASHANGALIAJI NA USHANGILIAJi WAO

2) KUTOKANA NA KUTOKUWA NA UMUHIMU SANA WAMELETA KIKOSI DHAIFU NA KUPUMZISHA BAADHi YA WACHEZAJI WAO MASHUHURI WALIOSAIDIA KUFIKISHA HAPO ILIPO

3))PUNGUZO LA BIA ZA LEO

PALE UWANJA WA TAIFA. LITAWACHANGANYA SANA KUANZIA WASHANGILIAJI WA KIGANDA AMBAO WATAINGIA BAADHI WAMELEWA NAKUISHIA KUWA MISUKULE UWANJAN BADALA YA KUSHANGILIA HIZI N MOJA YA MBINU ZINAZOTUMIKA KUWAMALIZA MASHABIKI WA TIMU PINZANI BRAZIL...

4))MAOMBI MAALUM YA WATANZANIA YALAUOFANYWA LEO SEHEMU MBALI MBALI AYAATAIACHA UGANDA IKOWA SALAMA

5))UWEPO WA KIONGOZI MKUBWA UWANJANI UTAWASAIDIA STARS KUWA NA AMASA ZAIDI

KAMA INGEKUWA MECHI ZA SIMBA NA YANGA BASI 6 WANGEKUWA KAMATI YA KIUFUNDI
 
ufupi mechi tumeshainunua hii.. ushindi lazima.. kwani wachezaj wa uganda hawataki hela
 
Na hii jezi za ccm ndio wameniharibia munkari kabisa wa kushabikia Taifa star...
 

Attachments

  • tapatalk_1553407253840.jpeg
    tapatalk_1553407253840.jpeg
    55.2 KB · Views: 16
Ni baada ya mpira wetu kuingiliwa na siasa ambayo tayari imeishatugawa. Suala hili hasa baada ya kungiliwa na Sir Bashite tayari mpasuko mkubwa umetokea na watu kutaka kushangilia Uganda. Naomba tafadhali pendekezeni jukwaa gani tukae tulete hamasa kwa Waganda ili watufungr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa VS michezo......stars timu ishaharibiwa, wachezaji wakongwe wapo wenye kujua jinsi yakutia hamasa lakini eti anachukuliwa wema na bashite

Bashite-ccm
Wema - ccm
PM- ccm
Kalia- ccm
Shoza-ccm
Kigwangala-ccm

Kushinda ni majaliwa, timu ishakua tawi la lumumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TENA WANAFUNGWA MBILI AU MOJA NILA.

Dalili zilishaanza kuoneshwa mapema, KWANZA wameifanya Taifa Stars kuwa ya C.C.M
Hivyo hapo kunahujuma zitafanywa ama na wachezaji walio mrengo wa vyama pinzani. n.k

Maana ikishinda tafsri yake C.C.M imeshinda. hapo ndo mvutano utakapokuwa
 
Kitendo cha kumweka zero brain kuwa kwenye kamati ya ushindi ni kuzalilisha uwezo wa akili kubwa kuwa hawawezi. Kwa mara ya kwanza watu wataenda kuamini kuwa Zero brain is zero brain always. Taifa limebakiza dakika chache kuingia kwenye aibu kubwa na kufedheheshwa.
Nasema Taifa stars ikifungwa MIMI NITAKUWA NA FURAHA SANA LEO.
Kuna chama kinafanya mchezo huu kama sehemu yake ya kampeni bila watu kujua. Pamoja na uzalendo tunaolazimishwa kuamini sio uzalendo huo wanaoumaanisha. Naahidi kuwa the cranes wakishinda nafunga baa natoa vinywaji bure mpaka viishe store (Huku nilipo)
VIVA UGANDA (THE CRANES) BIGENI HAO VIBALAKA WA SIASA.
Tusubiri Muda.
 
mkuu binafsi sina chuki na bashte, tatizo langu lipo kwa wale maprostutes: wema sepetu, shilole na baadhi ya wahuni kama steven nyerere JB, et all kutaka kutufundisha uzalendo... naombea team mbili zishinde leo, Uganda na Lethoto ikishindikana basi hata moja wapo iwin..
 
Toka lini maombi yakasaidia timu kushinda mpira?

Kama ni maombi basi tulitakiwa kushinda mechi kati yetu na Lesotho maana hata kwa wingi tuko wengi, zaidi ya milioni 58 na Lesotho wako milion 2 tu maana maombi yetu yangekua mengi kuliko wao.

Uganda anaondoka na ushindi mnono tu hapa na Lesotho wanashinda dhidi ya Cape Verde.

Cuf pia imulike mechi kati yetu na Uganda tusije kua tumepanga matokeo Uganda watufanyie fair ikitokea tukashinda.
 
Viva msalaba fc tuko pamoja.

Barcelona anamsalaba kwenye jezi zake na anatusua kwenye michuano mikubwa

Yanga hana hata alama ya msalaba kwenye jezi yake lakini hata robo fainali ya caf hajawahi kunusa

Sent using unknown device
 
Uzuri wa watu kama nyie ni kama chura, same Action, another Person = right Action.
Na wanafungwa kweli maandalizi yamebase sana IG ,maneno mengi ubunifu F.
Hiyo mil 10 mwenyekiti anaitoa wapi?

Kuna matatizo mengi ya mcingi ya wananchi yanahitaji pesa,hao Taifa stars si wanaposho na bajeti kila kitu tuache kijikweza wakati uwezo mdogo.

Tunawaza tofauti heshimu mawazo yangu na inafungwa kesho.


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom