Taifa Stars kufungwa kwa Mchina! Mashabiki wa Lesotho na Uganda tujuane mapemaa

Sio kwamba mnaipenda Uganda ila siasa zimewatawala kupindukia! Hii michuano ni muhimu kwa Tz kuliko siasa za Makonda kumbukeni tunataka kuweka historia hapo kesho.Jitahidini kuwa na kiasi na hakuna mtu wa kuipenda nchi yetu nzuri Tz zaidi ya sisi wenyewe. Grow Up and think big.
Hakuna kitu kama hicho,na hapa hatujafika kwa bahati mbaya,ni mipango ya muda mrefu ya watu wachache waliotaka tufike hapa. Kwa hiyo kila mtu apiganie mustkabali wake. Hatuwezi kujificha kwenye kivuli cha utaifa huku wachache wakitumia nafasi hiyo kujinufaisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko kunakohamasishwa na kina wema bakini wenye moyo! Mimi niliwekeza Nairobi kwa Mwakinyo ambaye aliachwa peke yake bila msaada wa serikali na wahamsishaji waliopoteza mvuto! Kafanya kweli na kumchapa mtu kwa tko mapema kabisa! Hongera Mwakinyo kwa kuipendezesha weekend yangu ila nakushauri uwaepuke wanasiasa kwani watakuangamiza na kuzikatisha ndoto zako!
 
Watanzania tuna akili ndogo sana,pamoja na kwamba mechi imepewa sura ya kisiasa lakikin ni upuuzi kushangilia nchi nyingine.....ni haki yetu kuichukia serikali na viongozi lakini siyo kulichukia taifa na kuliombea mabaya....ushindi wa stars ni wa watanzania wote.....MUNGU IBARIKI TANZANIA...KILA LA KHERI STARS.
 
IMG_20190323_140409.jpg
 
Watanzania wengi hawajielewi, Wachezaji wameahidiwa zawadi, unalalamika kwamba zitatoka wapi, Mara matatizo ya wananchi, Mara timu itafungwa, hapo hasa hoja yako ni nini?,_Hiyo zawadi umeambiwa uchangie?, Atakayezitoa unanfahamu?, Mdhamini mkuu wa Timu ya Taifa unanfahamu?, Jumla ya mapato ya viingilio ni sh ngapi?,_Huwa zinaenda kutatua matatizo ya wananchi?, Shabikia timu ya Taifa lako au kama huwezi, Kaa kimya. Timu ya Taifa huwakilisha Taifa sio kutatua kero za wananchi. Upinzani wa kijinga hadi timu ya Taifa mnaipinga
Na wanafungwa kweli maandalizi yamebase sana IG ,maneno mengi ubunifu F.
Hiyo mil 10 mwenyekiti anaitoa wapi?

Kuna matatizo mengi ya mcingi ya wananchi yanahitaji pesa,hao Taifa stars si wanaposho na bajeti kila kitu tuache kijikweza wakati uwezo mdogo.

Tunawaza tofauti heshimu mawazo yangu na inafungwa kesho.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
H
Huko kunakohamasishwa na kina wema bakini wenye moyo! Mimi niliwekeza Nairobi kwa Mwakinyo ambaye aliachwa peke yake bila msaada wa serikali na wahamsishaji waliopoteza mvuto! Kafanya kweli na kumchapa mtu kwa tko mapema kabisa! Hongera Mwakinyo kwa kuipendezesha weekend yangu ila nakushauri uwaepuke wanasiasa kwani watakuangamiza na kuzikatisha ndoto zako!
Hayo ya wakenya hayatuhusu, tuache na timu yetu na Taifa letu
 
Uzi huu ni kwa ajili ya kusapoti timu yetu ya Taifa ya Uganda (The Cranes) ili iweze kuibuka na ushindi itakapocheza na Taifa Stars baadae jioni ya leo.

Hapa Farouk Miya, pale Emmanuel Okwi, huku Juuko Murshid, golini golikipa bora kabisa ukanda huu Dennis Onyango.

Hakika leo tutazima ngebe za Watanzania pale nyumbani kwao Dar es Salaam. Karibuni mashabiki wote tuipe nguvu timu yetu.

Naripoti nikiwa Jinja, Uganda.
 
Back
Top Bottom